@ashmar_quotes: SPECIAL DUA FOR YOU. Ewe Allah 🤲🏽❤️ mlinde mwenye kuumiliki moyo wangu. Mbariki katika kila hatua yake, mlinde na kila baya, na malaika wawe ulinzi wake kila anapokwenda. Mpe afya, amani ya moyo, mafanikio na furaha mara dufu ya ile ninayoipata ninapokuwa karibu naye🌸♥️. Ewe Mola wangu, ikiwa yeye ni sehemu ya kheri uliyonipangia, basi ilinde mioyo yetu, zidisha upendo, uaminifu na heshima kati yetu. Usiruhusu chochote kitutenganishe ikiwa tumeandikiwa kuwa pamoja na siku moja utufikishe kwenye ndoa yenye kheri, mapenzi ya kweli, utulivu na baraka. Aamiin Ya Rabbal 'Aalamiin🤲🥹🤍.#fy #contentcreator #lovequotes #lovedua #specialforyou @O.KHAN👑 @TikTok @tiktok creators @pretty girl 🥰😘 @ETHAN_TZ🔥💜

🌸~♡Ashmar~🦋🥰
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 15:06:56 GMT
11090
684
8
152

Music

Download

Comments

user95600115243656
Young Salu :
I like a special du'aaa
2026-08-07 15:42:32
1
mozamunirah0
mozamunirah :
ameen ya rabbi 🤲🤲
2026-08-07 20:47:21
0
o.khan_quotestz
O.KHAN👑 :
2026-08-07 15:59:29
1
user72342637457118
user72342637457118 :
Allahumma amiin
2026-08-07 17:44:01
0
tina.kahati
Tina Kahati :
Amiinh inshallaah
2026-08-07 15:57:21
0
o.khan_quotestz
O.KHAN👑 :
Amiin bonge la dua
2026-08-07 15:59:29
1
mymunour
💫🤍OFFICIAL MAI🧸❣️ :
@Omar zaza bowy @Omar zaza bowy
2026-08-07 18:15:49
2
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About