@mwalimusuedi: MATAMBA NA NG,ONDA NDIO CHAKULA AKIPENDACHO DADA WA VIBUNDA , #creactorsearchinsight #viralvideo #tanzaniantiktok #fyppppppppppppppppppppppp #schoollife

SIR-SUEDI 🇹🇿
SIR-SUEDI 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 15:41:32 GMT
139120
7186
290
971

Music

Download

Comments

ibrahimmaestro265
The legend Fx🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Tutukute unakula chips
2026-08-07 21:28:11
3
user884372829
Sarah :
matamba ndo nn jaman
2026-08-07 16:52:08
23
momyvini2
NEY BOBO💋❤️ :
ila wamakonde 😁😁😁
2026-08-07 23:16:56
0
mlimbo1
magie :
tena yupo seriously jmn🤣🤣
2026-08-07 22:11:16
4
frankchitanda92
frank :
tunaaza na matamba, matamba ni ugari wa muogo na ng,onda ni samaki wa chuvi nyingi ila ni wale waliopasuliwa,ndo tunaita ng,onda
2026-08-07 18:55:40
75
webby6976
webby :
mm ndo huyo alie vaa kofia
2026-08-07 19:28:02
41
vicky.tarimo4
Vicky Tarimo :
Basi mtuambie hivyo vyakula vikoje
2026-08-07 17:48:53
76
pinkyleopa
pinky 💞 :
ooh wanajuwa chips kuku haooo jmn
2026-08-07 16:49:14
6
user27952095950028
love ❤️ me :
what is matamba and ng'onda???🤣🤣🤣🤣
2026-08-07 19:24:18
0
baba.vanessa10
Baba vanessa :
mm hapa nikipata ugali na kitimoto kichogo kina sema kunoga kunoga kunoga
2026-08-07 17:45:50
6
fav_rukya
Fav_rukya :
Vyakula vya wapi hivyo??
2026-08-08 01:51:29
1
teedollar306
teedollar306 :
Ng’onda nini ni
2026-08-07 21:35:19
5
najmambonde928
Najma Mbonde :
matamba me sijaelewa ND nini kwani
2026-08-07 18:17:39
4
nahna54
Nahna :
ng'onda ndio nini jamani mimi najuaga ni kitu kinachonuka
2026-08-07 17:38:56
1
rajabadamchampion
rajab champion TZ🇹🇿 :
ndo matamba ndo nn😂
2026-08-07 19:16:29
1
bertha.john3
Bertha John :
ng'onda ndo nn wakuu
2026-08-07 17:23:23
0
user82384636175992
Mwanaidi mtimbuka :
yani uyu ndo mm kabisa napenda Sana kunoga😂😂 weee
2026-08-07 18:34:44
0
user8734618823490
fety :
matamba ndio nini jamani?
2026-08-07 16:41:58
0
mtamodsf
Mtamod Sf :
lakini kweli
2026-08-07 16:52:43
0
asmasalehmbalugmai
[email protected] :
matamba ndio nn mwalim
2026-08-07 15:54:11
2
sanira.amour
Sanira amour :
jamani nimeyakumbuka matamba jamani au ugali wa muogo
2026-08-07 15:55:55
3
qswaga18
mamy himu18 :
jamn nimecheka kwa nguvu mpak watu wananishangaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-07 16:42:38
2
hilda.marijan
Hilda Marijan :
matamba ugali wa muogo na ng'onda ni samaki wachumvi nyingi
2026-08-07 19:54:35
1
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu.
2026-08-07 21:21:08
1
To see more videos from user @mwalimusuedi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About