@pastormunishi: MAKOSA NI KOSA NA KURUDIA MAKOSA PIA NI KOSA Mathayo 17:22 [22] Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka. And while they abode in Galilee, Jesus said unto them, The Son of man shall be betrayed into the hands of men: