Tutaonekana tuna roho mbaya kila mtu akae na mama yake tu😂
2026-08-10 05:08:40
13
SAMIRA❤️ :
yalinikuta miye kuitwa mchawiiiii
2026-08-09 10:24:03
6
parvy_124 :
utasikia muache mkeo umuoe mama angu
2026-08-09 06:59:02
3
rehemahamad132 :
kama nimekutuma uongee hili dada sina la kusema kama nipige kelele
2026-08-15 05:22:18
2
user4617039807384 :
jamani Mimi nao wawili wa mwanaume walilelewa na bibi Yao na shangazi Yao, yaan dada kama ulikuwepo ni mitihani mkubwa na nilishaendaga ukweni kitoto kimoja Cha kike kikanambia we sio mamaangu, na kina kiburi Hadi Leo hakinisalimii nilikua nao kuanzia yupo drs la nne now yupo la 7 Yan ananipandisha ananishusha hata salamu hanisalimii,, Yani ni mtihani
2026-08-08 08:39:07
1
Shamsa mnzava🥰💞 :
hiyo nikweli kabisa mm yalinikuta
2026-08-09 05:10:02
1
Sada Mbegu❤️💼✍️ :
kwa kweli hata me siwezi
2026-08-20 03:19:36
0
mrs panga :
Nikweli kipenzi changu mama akiwepo ni kazi sana,
2026-08-10 07:52:45
1
Zai me :
we una uhakika wako wamekamilika acha kujimaliza MUNGU c wako
2026-08-11 13:52:05
0
rahmaommy0 :
mimi mtoto anafanya mambo unamwambia baba ake anasema unamnyanyasa au anasema huyo si kalelewa na bb ake kwahyo hawez juwa na tabia unazotaka.
au mtoto anakujibu eeh mama angu ninae atanifanyia kila tu
2026-08-09 05:21:01
3
user223498238606 :
sitaki hata kuwasikia nimepira huko
2026-08-08 13:23:26
1
Happyness Francis :
kulea mtoto wa kumkuta tu yataka moyo jamna tuseme tu ukwel mimi wala siwezi
2026-08-09 12:41:58
1
Rayswa :
Fanya kila kitu ela mtoto wa mutu sumuuu
2026-08-14 08:42:06
0
joyce :
apana mtoto alikuwa ananifanyia visa yule yan anachukua buku kila siku ukimwambia baba ake et anakuja kumwambia mwanae achana nae ntamtimua uyu anakuja mtoto ananiambia ai niliondoka mapemq sanaa
2026-08-12 16:01:58
0
Irene_murro77 :
yalinikuta Kila nifacho kibaya
2026-08-09 11:53:02
0
munirahabdallah31 :
Yaani hili limetukuta wengi sana jamn mie ndio sina hamu
2026-08-09 15:24:28
0
Minah🌸 :
Nalea watoto wa mume wakienda kwa mama yao wananitukana wakirudi naambiwa usihoji
2026-08-09 12:16:31
0
Hellen :
Mi nimeletewa mtoto wamiaka 5 namlea ila marufuku kwenda kokote sasa ana miaka 11
2026-08-08 13:36:04
1
Bitegeko :
una akili Sana mdogo wng
2026-08-09 09:26:58
0
FROLIDA KISAI :
hata hao waliofiwa na mama yao ni changamoto pia
2026-08-08 12:23:46
0
Sophiya Agustino :
ahaaaaa watanoooooooo
2026-08-08 05:58:53
0
Merina Julius :
sisi wenyewe hatutaki kuacha watoto na mama wakambo kamwe ila nihali tu Huwa zinajitokeza,
2026-08-08 13:49:08
1
Babythreevoice :
aziza nkupenda ntmn nikufute ulikua dadaangu kipnd nasom chuo
2026-08-09 10:14:57
0
MAMA D :
sitaki kukumbuka jmn hao ndugu za mume kuwarisha sumu watoto mmm..h
2026-08-08 23:26:46
1
To see more videos from user @princess.angel894, please go to the Tikwm
homepage.