@suleiman.magoa: VITU VINA TEMBEA TUMBONI TUMIA DAWA HII #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #tiktok #viral #foryou

MAGOA TIBA ASILIA
MAGOA TIBA ASILIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 15:58:50 GMT
7557
512
35
82

Music

Download

Comments

mkajengwa
kkkkkkk :
Wenginewaongo
2026-08-08 19:30:03
1
user9419158774374
queen 😍 :
me naomb unisaidy kil Siku naota nipo shulenii
2026-08-07 21:47:44
1
nailath.wa.hamis
@@nailath wa hamis% :
yan kama nina mimba vile ila bndm
2026-08-07 17:23:29
4
ugali_zege
UGALI ZEGE :
me tumbo kuunguruma kaka hadi sometimes naona jau hasa nikila nikishiba
2026-08-07 17:18:52
1
malia.kasimu.hada
malia kasimu hadamu :
mi naotaga sana nakula nyama alafu natapikaa balaa asa unakuta mtu tunae kula ote anachekaa wakati mimi natapika nyakama
2026-08-07 16:52:18
1
stellafredy748
Stella Fredy :
asante kaka apo umenigusa mm kabsa
2026-08-10 06:01:07
0
jamila.ayubu2
Jamila ayubu :
🥰🥰🥰🥰 love nyingi kwako bloo nakukubali Sana Bloo mungu akupe maisha malefu uzidi kutusaidia bloo
2026-08-09 15:39:48
0
kamaronduwa
Kamaro Nduwa :
musaka uchawi ninini tuyipate je?
2026-08-10 13:52:17
0
collyprintingbrand
COLLY PRINTING BRAND :
kaka mm vitu kama nyoka vinatembea miguuni , tumboni, mikononi mwili mzima nishakunywa dawa mpk zikadunda ebu nipe maelekezo
2026-08-10 14:08:01
0
tatu.slemani
Tatu Slemani :
mimi nipo gulf lakin chumba ninacholala naona kama kinabadilika rangi
2026-08-08 05:45:47
0
nakato.poline
Nakato Poline :
Hi
2026-08-08 07:44:38
0
user4530220332270
pilot mwanaharakat :
naam
2026-08-08 13:42:32
0
jose.malove
jose malove :
broo me nasumbuk sasa miaka kumi
2026-08-08 04:17:03
0
user2435722486873
Oscar :
namba
2026-08-08 06:21:14
0
user8470518769951
thainah :
nimeota nimeng'atwa na nyoka kaka naomba ufafanuzi
2026-08-07 16:28:08
0
khamis7314
khamis :
Allah akulipe jannat firdausi kwa msaada wako unaotoa kwa umma
2026-08-08 05:08:36
0
mkajengwa
kkkkkkk :
Tufahamishe dawa ya mwanamimba
2026-08-08 19:25:12
1
kamaronduwa
Kamaro Nduwa :
Ebwane asante kabisa
2026-08-08 07:45:32
0
manuelbernabe04
Tom do Planalto-Makonde :
Da🤦‍♂️😭😭
2026-08-07 20:33:30
0
user5305802233508
halima 🌺 :
mimi niliota nimevaa nguo za harus alafu mwanae aliyekuja kunioa simjui ikafa ndoa ifungwe mama mkwe akasema ndoa ifungishwe keaho tutakuja kumchukua kabsa apo apo nikashtuka inamaan gan hyo ndoto kaka
2026-08-07 17:50:29
0
miss.zaina6
miss zaina :
Moto kwa moto .... Shukran sana🥰
2026-08-07 18:09:25
0
kimwar.juma
kimwar juma :
ok
2026-08-10 23:46:10
0
mkajengwa
kkkkkkk :
Kipo shida
2026-08-08 19:29:48
1
maggiekairo
Maggie Kairo :
nakubali sana doctor
2026-08-07 16:07:49
1
manuelbernabe04
Tom do Planalto-Makonde :
Mke wangu amefariki kwa sababu hii apo, mwezi wa 4. Ningejua mim🤦‍♂️
2026-08-07 20:37:00
0
To see more videos from user @suleiman.magoa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About