We need a presidential debate btn Sifuna and Kasongo tumalize hii war bure 😂😂😂😂😂😂
2026-08-08 06:31:35
0
lucia :
No need ya kutusiana unline??Am sifunated but don't go this way.....
2026-08-08 06:21:22
1
Kisha Lekeisha :
Sifuna is just a noise maker. ata western ataanguka vibaya sana
2026-08-08 05:04:10
15
L’acostics sound lab :
ilikuwa mwecheche respect is a two way traffic
2026-08-07 21:58:49
2
Gunners Manasseh :
Only Sifuna can make one term a reality. Hawa wengine wa opposition ni saucer kwa Ruto...
2026-08-07 23:19:33
2
Edwin :
huyu sifuna ndio dawa wa ruto
2026-08-07 19:29:28
41
Alchem. :
Sifuna you are going nowhere
2026-08-08 04:51:55
9
Rory :
😂nimecheka yangu yote
2026-08-07 17:57:37
28
Gloria :
😂😂😂 Mimi nilikuwa nangoja hii come back coz vitu Ruto anafanya na kusema Wacha to
2026-08-07 19:39:14
33
mungoso beib :
kweli
2026-08-07 16:59:17
9
Sammy githio :
alafu tuajie matiangi sifuna for president
2026-08-07 17:52:55
9
derro driver :
President must be respected
2026-08-07 19:57:07
3
ATOTI :
weeeee nomaaaaaa
2026-08-07 17:35:17
6
kijana mwepesi wa yesu :
wewe sifuna maliza siasa kitu najua Ruto ndio atakupea kazi 2027
2026-08-07 21:29:18
7
Lyne@babe❤️ :
😂😂😂 eti Sisi ndio sifuna ndio hii Sasa
2026-08-08 10:59:34
2
Rael :
sifunated hoyeeeeeeeee
2026-08-07 18:28:24
3
TYGER :
uoni vile aliswet baada ya kutaja ruto😂😂😂
2026-08-07 18:57:08
9
Brian sifa :
walishambulia sifuna Last Sunday wakiwa Eldoret church..
Leo amewarudishia😅 vile inafaa
2026-08-07 18:41:01
10
Sam Ragot :
Sifuna Wacha kutukana rais wa jamuhuru ya kenya
2026-08-08 12:22:14
2
DJ Masicha :
His Excellency Edwin Wakenya Sifuna 🔥🔥🔥🔥
2026-08-08 07:53:16
0
Ramjii💲💲 :
kwany huoni anasweat
2026-08-07 22:48:09
1
miriam :
kama ni matusi hiyo ni kawida ,na hakuna mahali matusi itabeleka mtu,kama ni matusi mimi nilianza kusikia wati wa kibaki na waka wa uhuru, raira alikuwa hivyo but hakuwai bata uraisi na mwishowe aikuwa anamalisa na handshake so hiyo ni kama matuta anapaka president
2026-08-08 13:11:46
1
💯 :
Challenge president kwa agenda lakini c matuzi
2026-08-07 19:32:52
1
To see more videos from user @truth.for.truth.254, please go to the Tikwm
homepage.