1- Hakufanya istihzai, ndivyo inavyo somwa , kwa sauti hio.
2- kuna istihzai ya jina la Allah zaidi ya dhikiri za kukohoa ? munayo ifanya nini.
3- hakusema yaitwa Al wasilatu shafiqiyya, bali ni swali ameuliza.. skiza vizuri..
4- Kutaja jina la Allah si bid'ah, but kuifanya dua hii specific kwa special occasions kama khitmah etc ndio Bid'ah, so acha talbis kaka.
5- nani ataenda soma wasilatu shafi kisha amalize bila kupewa mlo au bahasha? so ofcoz ni kitabu chatumika kwa mlo. huezi kataa hio point kabisaa.
6- لولاهُما كنّا ولا بقينا - ina shaka, imekhalifu sheria
2026-08-07 18:38:57
10
Abuu Mu'ad Assalafiy As Sūmãli :
https://vt.tiktok.com/ZS4b1LcMx/
2026-08-08 05:12:02
2
Mounir Ousmani :
sheikh Wang samahani unaweza kuni Saidia na tafsiri ya hapo,,
samahani sana 😊
2026-08-09 17:19:34
1
Aziza Msumi :
shukraan ustadh ❤️❤️
2026-08-08 09:17:38
2
Abuu Naufal Ashirazzy :
hamna jipya
2026-08-08 06:16:23
0
Ali Badru Suleman merali :
Twashkuru Alhamdulila. Allah atukinge na hawo wenye Fitna na chuki