@ngbfadventist: Wimbo wa ITAZAME DUNIA uliombwa na @thelightbearerstz umeimbwa kwa namna ya kipekee ukisindikizwa na mziki wa SAXOPHONE na kaka @dixonmaige na Umebariki Kutano kwa Namna ya Kipekee! Kwa Namna ya Kipekee Kutokea Makambi Gosheni SDA Tunakutakia SABATO NJEMA!