sema kaka kitu umeongea ni kweli kwa sisi wapenda mziki na nimekuerewa lkn hao wasanii watakuerewa kweli
2026-08-07 20:23:47
1
denyotradings :
Mustard hajawai kuwa producer wa drake ila ameshawai kufanya kazi na drake
2026-08-07 20:21:19
1
rema Zeep :
rema sio wa michezo
2026-08-07 18:42:57
3
Jack Smart :
Unaamini kuwa kufanya hivo ndio hiyo nyimbo itakuwa kubwa kuriko come down ili fanywa na producer wa africa na vp chris brown kufanya kazi na ma producer wa africa na zimekuwa hit i imekaaje..?
2026-08-07 17:57:33
4
𝙏𝙊𝙉𝙉𝙔ᶜˡᵃᵘᵈⁱᵒ'ˢ ✯ :
that song is rubbish 🗑 man, ata kama ametoa ngoma na mustard, Rema sikuizi anaimba vitu zake
2026-08-07 19:08:45
1
Grace John :
we bwana kuna wengi tuuuiuiiii
2026-08-07 19:42:35
0
AQUITEPLACE🥺 :
we jamaa 😀
2026-08-07 18:11:41
0
Macho dungu official :
anae nifahamu mmi like 🥰
2026-08-07 20:38:53
0
Peter Pen Junior :
True 👍
2026-08-07 20:00:38
0
Baraka_madini💎💸 :
we umefanya na nan achna nao ko unataka tuanz kusikiliza magoma yasio eleweka waaache tusikilize mziki wa ndani flavour zetu
2026-08-07 20:52:08
0
FAIDA 254 :
sema diamond afanye na producers wakubwa sio wasanii wa bongo
2026-08-07 18:36:00
0
N!CHO🙌 :
mbn youtube ipo tyr tok mda
2026-08-07 18:56:03
0
Tshaby781 :
mbona YouTube ipo mda Sana
2026-08-07 19:17:15
0
boby :
nivizuri kujiamini mwenyewe
2026-08-07 19:30:09
0
saliieking :
Kitu kingine directer wa hii video ametisha sana
2026-08-07 18:55:38
0
bienfait tumayini2 :
kitoko makasi 🇨🇩🇨🇩
2026-08-07 21:29:05
0
coolvaro devis :
kweli👍👍
2026-08-07 17:58:52
0
Aluta continua :
tatizo watanzania lugha rasmi 😂
2026-08-07 17:53:17
0
China_Store :
kakaa shida FEDHA😂😂😂😂
2026-08-07 19:00:12
1
iconwizzy :
wale watu wanayo hela kaka acha wahangaike Kwa zombie
2026-08-07 21:21:33
0
Chris Wurld 😍 :
but Wizkid kapotea simplicity ka Davido utaishi Kwa gem sana
2026-08-07 20:46:40
0
aiem Champez :
mond bado anashikamana na s2kizzy😅
2026-08-07 21:27:42
0
To see more videos from user @el_mandotz, please go to the Tikwm
homepage.