jamn siyo vizuri Kam mtu umeachan naye why usiachane nay kw wema
2026-08-08 08:54:58
32
TOP 🇰🇪 :
Ndo nimetoka kwenye account yake uko kumuuliza 😂😂
2026-08-07 19:51:35
111
kwawe soko :
alafu hii tabia ya maaskari wengi sijui kwanini
2026-08-08 03:59:35
119
Munda 🦋 ♏️ :
ay nimerudi
2026-08-08 07:22:54
0
Double tee :
Wapo weng san wa ain hiy siku hiz
2026-08-08 10:01:51
6
Pretty essential 💃💅❤️ :
Nachok mie jmn😳
2026-08-08 11:07:30
3
MP (Mama Princess) :
Mi sitaki kutia neno naogopa fidifosi😁
2026-08-08 06:43:15
12
🍋🟩lara :
Jamany wengine hawa ni ndugu zetu mweee 🥹💔🙌🏼msiseme hivyo
2026-08-08 13:59:11
4
najmaa :
ndonimetoka kwa wote wawili mwe😂😂
2026-08-08 15:55:24
1
genhviva💍🦋🦋 :
Ndio naenda Ila nitarud
2026-08-07 22:41:17
6
AmmyGall :
siaminii ukute kaachwa ndo makasirikoo sasaa haloooo muachen kak wa watu
2026-08-08 14:11:03
6
Fahmy :
Kuna kitu hakipo sawa, ziko habari hazina uthibitisho KABISA. Hatuwezi kujua hata dem alidhamiria kumchoma mshikaji kusudi hata sio tabia zake. VERIFY TAARIFA YOYOTE KABLA YA KUIWEKA PUBLIC. Binafsi napingana na taarifa na namna hii
2026-08-08 15:35:10
0
Lucy :
we k2 mimi nakupenda mambo ya fd4c nimeogopa😄😄😄
2026-08-08 17:40:46
0
️Ave cute❤️🔥😘😘😘😘 :
ACHENI kuzushia watu uongo bana
2026-08-08 09:27:58
6
Majeshi01😍💯 :
funzo pambe😂😂😂😂
2026-08-08 13:50:25
1
cdtz :
😏
2026-08-08 05:00:53
0
💯 ️ :
nimerudi tayari tusubiri kuitwa sitaki shari maana sio kwa zile comment
2026-08-08 08:11:31
4
Niga White :
we umejuaje
2026-08-07 20:06:31
2
Call me MCHIZI_MØks😎 :
mbona kama apo juu kuna comment yake🤔
2026-08-08 08:39:30
2
To see more videos from user @k2putin01, please go to the Tikwm
homepage.