Nauliza dr. Pia Hpilorry na nauliza hizo ndizi nne hayo maji unatumia kwa siku ngapi ndio uchukue zengine yaani siku saba ama maji yakiisha nichukue ndizi zengine tena nne kwa siku saba hivyo ama
2026-08-09 06:49:21
1
Sakyna amisi :
kunaaina mbili ya ndizi muzuzu kuko ile laini na hiyo ta ngumu hipi? basi
2026-08-09 07:44:02
0
Nyar Rarieda/Nyar Rawila :
ndizi gani hii
2026-08-10 04:17:06
0
janethcollection :
nitakunywa kwa muda gani?
2026-08-07 19:24:56
0
john1234bj.a2 :
unatumia kwa muda gani
2026-08-08 17:25:26
0
maimuna :
unakunywa kwa cku ngapi?
2026-08-08 07:02:02
0
Rose Mwanvuwa :
unyesha mifano
2026-08-08 17:23:34
0
user6926031137760 :
tutakunya kwa Siku ngapi? papa
2026-08-08 14:01:33
1
Dorcas Mamy :
na shukuru Sana Docta wangu yamenisaidiya sana kwa shida ya moyo na Estomac
2026-08-08 12:59:52
0
richman :
ndizi mzuzu ni plantain
2026-08-08 08:39:16
0
Manevo :
kipimo cha maji kiasi gan naweka
2026-08-08 03:41:07
1
user79098142033864 :
I love you for that advice brother
2026-08-08 17:08:14
1
Messo Brigitte23 :
merci papa
2026-08-08 16:56:06
1
suzzy Kenya :
asante nitajaribu
2026-08-09 10:00:29
1
Mure :
doctor,,ndizi Mzuzu ni Gani,tunajua ndizi ya matoke,nieleze
2026-08-08 08:01:28
0
Helem Salum :
Mchanganyiko unaweka kwenye fridge?
2026-08-08 09:36:24
1
Sarah Morgan :
Hii lazima nijaribu
2026-08-08 14:46:26
1
To see more videos from user @dr.chief.mbeyu, please go to the Tikwm
homepage.