niffer cosmetics huyo dada anatoa sana kwa wanawake wenzie 💖💖💖
2026-08-07 20:29:29
23
BLESSING :
kwel Coy 🫡,umenena .🤔
in African haijawai one kana.
2026-08-08 02:10:53
3
G Minor Gs :
Yupo Angela Kiziga ni Billionaire
2026-08-07 20:42:04
5
Fidness Softy :
Siyo kwamba hakuna wanawake matajiri, ukiona mwanaume amefanikiwa ujue mwanamke amemsaport mume wake, kama mume wangu ni tajiri hata mm pia ni tajiri.
2026-08-07 19:01:00
16
pearl jade de cuteee😍😍😍 :
coy kwaiyo umekataa kuni dm poa tu😭😭😭
2026-08-07 19:04:14
14
Boyalone :
angel kiziga
2026-08-07 20:30:23
8
allie❤💞 :
Mmmmmmh😂
2026-08-08 03:39:45
0
Jayrasta :
hakuna mtu anayeweza toa pesa kwa mtu km hakuna anachopata.
2026-08-07 19:56:58
18
CHUSSE🤍🇨🇦 :
mdada unaye soma hii coment umeolewa???
2026-08-08 01:41:54
7
daniel mollel :
sure brother
2026-08-07 21:10:12
0
mamushka :
fact bro
2026-08-07 20:30:28
1
@mwekwa-99 :
exactly
2026-08-07 21:15:39
0
jacki :
wapo kujionyesha hawataki
2026-08-07 22:54:34
2
IREN SULEY :
mama chanja sio mbinafsi🥰
2026-08-08 04:13:24
1
@chuchurobby :
we wapo tena wamejaa sana niffer si tajiri kivile ila niffer anajitoa sana kwa wanawake wenzake, Mungu akimzidisha niffer wanawake tumefanikiwa yale dada ana roho yake jmn jmn, mimi kwa macho yangu huwa namkutaga sana akiwa anasapoti wanawake wenzake. Mungu amtunze sana huyo dada.🙏🥰🥰🥰
2026-08-07 21:39:49
5
SOPHIA CHACHA :
me ntakuwa wakwanza eeeh mungu nisaidie
2026-08-07 21:46:35
1
💬 :
Mmmmmmh
2026-08-07 23:41:24
0
Nereen Kifaru :
ko koi mbon na wewe ni binafsi nisaidie bs me shida mnasaidian wenyew kwa wenyew😭😭😭
2026-08-07 19:21:55
5
Mariam Charles :
hamisa yupo yeye anas support na anatoa ela
2026-08-07 21:45:22
1
Emmanuel :
koi umeongea ukweli ( kunywa soda ntalipa)😅😅😅
2026-08-08 03:25:53
3
James Mtimbo :
kweli
2026-08-08 02:55:33
2
_ nessah ❤ :
Kweli wanawake sisi wabinafsiii😅😅
2026-08-07 21:39:36
3
Pudensiana Godfrey :
nikwel kaka wanawake tunaubinafsi sana
2026-08-07 20:53:51
0
🫣 :
Yupo Dr Judith Muhina
2026-08-08 03:25:36
1
MISS BOSS :
ww tupo sana
2026-08-07 20:26:58
3
To see more videos from user @coy_mzungu, please go to the Tikwm
homepage.