MAULIDI AFRICA NA ULAYA YAMEFIKA SASA YATAENDELEA MPAKA KIYAMA
2026-08-08 05:39:45
5
salimali1043 :
watachoka wenye kupinga maulid yasomwa Kila nchi aangalie kwa mitandao ataona maulid yanavosomwa
2026-08-08 06:55:44
6
Karala Jafar :
Tuta soma maulid النبي حي في قلوبنا kwani wengi ikiwa mjadala Wana kimbia .
2026-08-08 06:25:29
3
muwamadijuma :
Sema sijui sio hakuma
2026-08-08 08:00:06
1
Amizotz🇹🇿🇿🇲🇿🇼🇲🇼🏴☠️🎶 :
Sasa kama maulid ni bida Sasa sunna nizipi ebu twambie shehe 😳😳 kwasabab nikumsif mtu Kuna baadhi yawatu wanasema kama mtu hakufanya Kwan vigp tunafanya hayakufanya au kumsifu mtumie kosa jamn wachen wezenu wasome maan huko nikumsifu mtumie
2026-08-08 05:17:31
1
Salim :
khutba ya mwisho ya mtume alisema musiongeze Wala kupunguza kitu katika dini atakae ongeza ama kupunguza motoni
2026-08-08 05:22:56
1
user3660581998131salmin singo :
tutasoma maulidi saanah
2026-08-08 09:07:25
1
user hussein maige :
kwan jaman masheikh zetu hotuba ya mwisho ya mtume mmeisahau mtume Rehema na amani ziwe juu yake alisema kuwa ametuachia quran na sunna mengne ya nn
2026-08-08 05:13:23
1
HAMMAH :
Tutaifanya
2026-08-08 07:44:07
0
user4369738393914 :
kasome abawa usiwe nahasira kila wakati
2026-08-08 04:50:00
1
Kadiga Ali :
Wapili Mashaallah
2026-08-08 10:34:29
0
clean heart ❤️ :
pia kisheria hakuna dhehebu la , shia, suhufi, sunni, salafi etc rasulullullah was just a Muslim He was non of these madhebu ambayo always wanabishana wao kwa wao kwa kupotezwa kusiasa ili dini igawanyike umoja wa uislam upotee ulumwenguni...
2026-08-08 10:31:46
0
user1529451055292 :
duuh asante san mwanatanga hujatuangusha
2026-08-08 10:21:25
0
Deejay Shibii :
Maulidi mpaka kiyama yatasomwa
2026-08-08 10:18:17
0
Dongosinyo :
shukran sheikh Ali Allah akuhifadhi
2026-08-08 09:35:22
0
Al haqiir :
cku gani nzuri ya kusoma mawlid twataka tuanzee na sisi ..
2026-08-08 09:26:26
0
user5700816210800 :
huni ilimu kasome
2026-08-08 03:55:52
0
birhanuchunge :
Baraka....Allahu....Ostad
2026-08-08 08:39:58
0
Mahfoudh Dennis :
Waambie balagha nahau zote Ni masomo
2026-08-08 10:40:14
0
user3339608454666 :
kama wewe hpendi basi usihukumu wengine tutsoma mpaka yomolkiama
2026-08-08 10:43:35
0
msenge nni :
shekhe kuna mada nyingi za kyzungumzia yaana mpaka maulidi tuu
2026-08-08 08:24:31
0
Uwamahoro Amina :
Maulid sio biida
2026-08-08 09:16:21
0
rasam :
mh
2026-08-08 05:40:34
0
To see more videos from user @pogbamnyama935, please go to the Tikwm
homepage.