ngoja ni screenshot nikamuulize chatgpt naja msiondoke
2026-08-08 12:09:21
129
Voiness 🔥 :
2026-08-08 09:42:38
25
GOGU MAGA :
1.中国银行信用卡的一笔一划水杯
👉 Kwa maneno ya kawaida: “Kadi ya mkopo ya Benki ya China… kila mstari/mchoro… kikombe cha maji.”
2.秋佳节放假吗我们这个可以有
👉 “Wakati wa Sikukuu ya Mid-Autumn, tunapata likizo? — Hii tunaweza kuwa nayo.” 😄
3.秋佳节 (Qiūjiājié) = Sikukuu ya Mid-Autumn ya China.
国红枣汤中国银行卡了
👉 Kwa tafsiri ya moja kwa moja ni kitu kama: “Supu ya tende nyekundu ya China… kadi ya benki ya China…”
2026-08-08 14:29:10
19
samweli wapili :
mtu baada aandike coment anasoma yangu
2026-08-08 15:04:11
41
Edi :
wacha tu niendelee kuokota makopo😂😂😂😂😂
2026-08-08 17:21:13
27
user6501250071735 :
gshshdbdhsbsbsbsvsbsbsbsnsbsvbzvsvsvsbbsbnamanbzbbdbsjajsvshsbbzbxbsjalamsbxbvshzgzb5484884848878,54816,9815758059694888=9978bzbsbsbzbvvvgvbhhwm,mjsbdhxbsbxhgebshalsb pg namba hizo ilikupata maelezo zaidi 🤝
2026-09-15 11:00:25
1
meh-zuxyleen💫 :
mm nshaelew anetk nimuelew alike apo 😂😂
2026-08-08 10:14:38
1
zumo messi :
ila kazi namba 2 ni ngumu sana maana udaktari sio mchezo
2026-08-08 12:45:06
12
🗣☘️Vinny☘️🗣 :
Axant mungu nimepata kazi namba 1
2026-08-08 13:22:46
1
hussein00 :
asa ndo kaz gan tusaidieni
2026-08-08 12:46:31
1
Tinisha WL :
hiyo no 1 ndo ninayo saiv
2026-08-08 17:32:11
2
ALLY KAWAGA :
iyo namba mbik
2026-08-08 19:39:50
0
G master🩶💫 :
me number 3 sitak mana nimelitunza sannaaa😂😂
2026-08-08 14:42:26
2
prosper sese :
ila ww hahahahaha 😃😃😃😃😃
2026-08-08 20:03:45
1
Agness :
🤣🤣🤣🤣 hiyo namba moja ndio kali kufukuzia wafungwa sio mchezoo
2026-08-08 14:27:53
1
saidaty wa muu :
stk maswali mengi wakat wote shule tumeenda
2026-08-08 11:57:30
1
Angel Jack :
Ahsante nimepata ajira
2026-08-08 21:07:26
1
BA💥MKALIY🍾🍻💞💘🇳🇵 :
mimi ni mtaramu wa kazi nambo 2
2026-08-08 11:03:52
1
꧁༒☬محمد بن لافاميليا 33☬🎭🤍🫀 :
Chart nayee yupo vizur
2026-08-08 17:21:49
0
lito :
Iyo kazi kuna kulipa kweli???? 🤔🤔
2026-08-08 19:29:54
0
Irfan :
Mimi nmeshindwa, mana chat gpt siku izi ananijibu shortkat🤣🤣🤣
2026-08-12 13:39:10
0
Monica Mwanga :
iyo ya pili nahitaji😂
2026-08-08 19:28:10
0
nanah :
kwahy no1 hata bila cheti wanapokea s ndy
2026-08-08 17:53:47
0
To see more videos from user @mtotonyauu0, please go to the Tikwm
homepage.