@wizara.ya.ardhi:

WIZARA YA ARDHI
WIZARA YA ARDHI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 19:38:39 GMT
22104
538
37
156

Music

Download

Comments

user5845402498001
user5845402498001 :
GOD BLESS YOU
2026-08-08 06:06:52
1
user1014485204708
mao :
naomba elimu kisawasawa
2026-08-08 07:47:59
1
user131561855
user131561855 :
Ni kweli kabisaa wanatusumbuaa sana
2026-08-08 07:33:44
1
sarahm_74
sarahmalangalila :
sio Iringa tunapata taabu sana
2026-08-08 07:51:02
1
user5950449394459
[email protected] :
mimi niko tanga mjini nimeomba hati miaka 3 hati sjapata napgwa dana dana
2026-08-08 08:01:37
1
shobotomohammed1
Shoboto modi Tanga :
babu eeee sisi huku tunakosa na hakuna jipyaa loloty
2026-08-08 06:30:10
1
user2407366344870
Mom JB :
Morogoro tunapatia wapi??
2026-08-08 06:44:52
2
user9056572202693
queen :
Naomba namba za waziri wa ardhi Ila kuna gharama wanasema eti
2026-08-08 06:53:02
1
shayama806
shafanat11 :
waziri kuna sehem nyingine tuna wiki ya 3 sasa hatujapata hati .vigezo vyote vimekidhi
2026-08-08 04:24:42
1
ahmeddylameck
Ahmedyramaar :
wizara ardhi mukatoe elim huko nje acheni kukaa oficn tu wananchi wengi hawaelew masuala ya ardhi ikiwemo hta hao wenye viti wa mtaa na watendaj wao wanachojua ni kupokea 10%tu
2026-08-08 05:34:10
1
juma.msati
Juma Msati :
Sawa kabisa na waache kuchukua viwanja tukichelewa kujenga
2026-08-08 04:56:23
0
bilalwilliam2
king Bilal :
mmhhh
2026-08-08 07:50:39
0
user66181228550306
Amina shabani :
tunafatilia mpaka unaacha
2026-08-08 08:04:13
0
phatreyzjrhumphreyzjr
Phatreyz Humphreyz :
Kweli wanatupiga chenga sana na dharau kamadodoma ushirikiano na wavamizi wa maeneo kwenda saiti laki moja 😂😂😂 ofisini watu hawapo kila siku unakasirikaaaaaa afu unasema embu ngoja nisubiri nione alafu auoni kitu ela unapata unaila ukisubiri ofisi ya ardhi yanii😂😂 sema tu sina hasira ila dodoma ardhi ngumu sio kuipata ila watumishi wanataka washibe kwanza …soma mara 3utanielewa aaaah tutashindwa sasa tunawaangalia tu ardhi unaenda miaka minne nauli ratiba duuuuuuh🥺🥺🥺🥺🥺 inakera
2026-08-08 07:54:35
0
mahame2.com_tz
mahame :
Sisi wenye viwanja ambavyo havijapimwa? tunapataje hati?
2026-08-08 07:59:21
0
mtanashati90
mtanashati90 :
mimi ni wa dodoma lakini sio rahisi kupata hati tuwe wa kweli
2026-08-08 07:13:12
0
bealubricant
bealubricant :
mm nimelipia kwa wakala Pale pasua mwaka wa pili na hatai hatujapewaaa eneo la tanesco kibaoni pasua pembeni ya tpc
2026-08-08 07:15:58
0
kastismamalya
Kastisma Malya :
uko maofisini mnatuzungusha Sana mpaka watu tunakata tamaa Yani mnaongea tu vitendo sifuri
2026-08-08 06:46:55
0
laurentmshani
Laurent Mshani :
Kuna mikoa haipo
2026-08-08 06:20:57
0
mwitawakimarawaki
mwitawakimarawaki :
nimelipa miezi miwili sijapata hat
2026-08-08 05:44:34
0
george.kamalamo
kemo Tz 🇹🇿 :
safi kabisa waziri na mimi nitaanza mchakato
2026-08-08 05:22:36
0
hakeem.oo7
Hakeem :
nina miaezi 9 mpaka sasa nime kamilisha kila kitu na hati sijapata kila ukifatlia umaambiwa subiri siku 14 mwaka sasa huu
2026-08-08 06:39:45
0
raydarly.makundi
Ray :
Nina miaka miwili nafuatilia hati tu
2026-08-08 06:35:53
0
davidmussa449gmail
(Kng d) MFALME wa WAYAHUD og :
mm nili wai kufatiria nika ambiwa million tano na kiwanja nime nunua milion 1.5 ila hati nimeambiwa nitoe Milan 5 nikaona nikae peembeni
2026-08-08 06:46:52
1
salmanmagwe
MAGWE :
WIZARA ARDHI FUTENI SHERIA YA KUMPOKONYA MTU ARDHI YAKE AKICHELEWA KUJENGA,HALI NI NGUMU MNO
2026-08-08 03:36:10
1
To see more videos from user @wizara.ya.ardhi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About