@tuongeeuzazi: UBARIKIWE! ❤️

TUONGEEUZAZI
TUONGEEUZAZI
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 19:40:32 GMT
385549
8922
370
245

Music

Download

Comments

queen.everlyn2
Queen everlyn :
mbn mm naona n negative
2026-10-01 07:31:00
1
aylum4
esma han🥰🥰🥰❣️ :
yeye mara 3 mm mara5 fantastic 😂
2026-10-02 17:06:00
0
kidoti377
Sarah B❤️‍🔥 :
Weeee[Innocent]
2026-10-02 18:24:07
0
rayani1292
rayani :
nipo hapa nasubir period ya mwezi 8 niingie kwenye husiano jipya😢
2026-08-08 07:55:34
140
user38609855439760
BizzyDaughter❤️ :
mbona ni negative jaman
2026-08-07 22:30:07
60
nanah394
nanah🌸🥴 :
Wajanja tushamaliza p ya mwez wa 8😂😂😂
2026-08-08 09:30:47
190
hnnh266
@mihanna🦋🌸 :
mwenzen ndo sielew kabisa unajuaje kama ipo au haipo 😳😳
2026-08-08 00:44:54
8
jpm_tz2
JPM_TZ :
kwa nn jackline lakin
2026-08-08 07:34:54
11
sheyllahtmaige
🦋sheym@h 💦 :
ipo siku namimi nitapost kama hivi inshallah 🙏🙏 😪😪😪
2026-08-08 16:41:29
31
missannehtz
it's Mrs nixsmlie :
najiunganisha na hiz baraka🙏
2026-08-08 06:08:41
46
mirs.p4
Jackline :
Nimeshituka kuona hilo jina nikajua mm ndoto yangu ya miaka mingi sana mungu atuone wote tunaohangaika na matatizo ya uzazi
2026-08-09 17:25:22
9
aishajeremy
nelly :
na mm ipo siku nitatoa sadaka kwa kumshukuru mola wang atakapo nibariki. mtoto
2026-08-09 14:29:33
9
farajakodi
Jaja :
me nikipata ya mwe8 siludii tena jmn kweri niombeeni wakuuu
2026-08-08 10:33:09
12
tiva5718
tiva :
Sitasaau siku nimeamka hasubuh nikapima nikaona nipo negative nilhisi hasira sana mpaka nikajihisi nipo p sikunzima ilialibika kwakwel jion nimerudi nyumbani kuangalia kama kwel nimeingia p nikakuta sijaingia ikabidi nikifate kipimo nilichotupa kuangalia nikakuta mistari miwili sikuamini ikabidi nikanunue kipimo kingne nikapima nikakuta ni positive 🥰😭 nililia sana machozi ya furaha nikamsubir mr iliniende nae hospital niakiki tena nikakuta majibu ni yaleyale kwakwel namshukuru mungu maana nilipotoka 🙏 da dorry anatuombea sana na Mungu anatenda
2026-09-10 05:44:07
7
itssuuu89
Hope Swabrina :
Sharp girls tushanyesha tayari🤣🤣🤣
2026-08-09 18:54:39
7
jackline.mzungute
Jackline Mzungute :
akna jacklne tujuane
2026-08-08 11:43:02
13
visionadvisers
it’s me❤️🔐 :
Najiungamanisha na hiz baraka
2026-08-07 19:46:35
18
user4025280076795
fauster :
Mstar mmoja haung’ai nichang sana hongeraaa
2026-08-08 08:35:24
6
smoothmama
Mage 🥰🥰🥰 :
Amen Amen najiungamanisha na baraka hizi🤲🤲🤲🤲
2026-08-07 20:21:42
6
mrs.majizo6
Spencioza :
amen amen amen 🙏 mungu wetu ni mwema najua wenye uhitaji atatujibu kila mmoja wetu kwa wakati
2026-08-07 20:04:18
5
deeh0049
🥰deeh🥰 :
mbona yangu imekolea mistari miwili😫
2026-10-02 19:10:28
3
nyarobat7
🙄Unbothered Bae💃💃 :
mtu anielezee jamani nina mimba au sina
2026-09-11 12:40:14
0
itsneyla7
itsneyla :
me hua napiga kila mwezi naambulia mstar mmoja tu hua naangalia mara mbili mbili labda wapili utajitokeza kwa baati lakini wapi eeh mungu nikumbuke na me😭
2026-09-29 12:43:07
2
nokuthula_m29
Nokuthula_M29 :
lakini mm naona negative
2026-08-10 14:54:06
1
wittygee
wittygee💞💞🫶 :
Ikitokea mistari miwili ndo nn😂😂
2026-09-02 11:44:02
2
To see more videos from user @tuongeeuzazi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About