@itsnelly_choppa: Tusikie watu na wanaume zao😂💔🙌🏽#viral #makemeviral #tiktoktz #tiktokkenya #fyp

nelly choppa
nelly choppa
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 19:58:41 GMT
365566
13441
2186
2749

Music

Download

Comments

annyeunice1
Anny :
silent treatment apa week nzima sjatafutwa🥰🥰🥰
2026-08-09 18:00:37
962
anne.tz58
Anne tz :
ambao tupo single tujuane
2026-08-10 12:40:49
362
mama.prospa7
jeni💕💕 :
roho nzuli sana hata mke wake atakaemuoa atajivunia kumpata mme kama yeye
2026-08-08 16:08:27
545
dekhadija899
Diddah 💞 :
😅ubahili
2026-08-08 07:30:39
280
jullieannie1
Julie🦋 :
baba kabarikiwa roho ngumu yule jamani 😂
2026-08-11 14:22:07
143
ms_.imelda
imelda🦋❤️ :
Mungu kambariki uchoyo yule baba😂💔
2026-08-13 17:31:21
65
princesslora70
princesslora70 :
Kuomba msamaha huyu kijana hata makosa yangu msamaha anaomba yeye
2026-08-11 14:59:37
60
sharwnn.054
Shahzaed 054 :
km kawaida yetu tuna view profile kulingana na uzito wa comment😂😂🔥🫴
2026-08-14 09:48:24
80
fey3607
fey :
mtu mwenye roho safi akili nyingi na unyenyekevu
2026-08-09 09:48:48
224
cecy.kamala
Cecy Kamala :
sema zaukweli mi kabarikiwa mbooo jamani najivunia sana
2026-09-05 11:45:03
19
wilhelminamguna
WILHELMINA❤️ :
Wasoma coment chai
2026-08-16 20:31:16
16
rhodacute01
Rhoda cute 🥰🥰 :
niongeee kwa kusimam au kwakukaa
2026-08-09 15:23:05
6
jason_class8
jason class🌹 :
sisi single tuna scroll tuu message hapa😂
2026-08-13 16:26:30
9
rest7991
Rest799 :
Kwahy wote Humu mnapendwa😂😂 wanaroho Nzuri Hongera wanetu 😂
2026-08-11 10:40:13
12
phinadominic
Arike💕💞 :
amebarikiwa dharau kwa kwel najivunia na dharau zake🤣🤣🤣
2026-08-17 21:08:41
9
user72777232913581
user72777232913581 :
Na sisi ambao tupo single tunakaa wp 😂😂😂
2026-08-23 20:07:24
5
sweat.rey
sweat rey :
jamani wakristo bwana asifiwe
2026-09-08 11:57:31
6
jordanelias01
jordan :
wote tulio soma comment bwana yesu asifiwe
2026-08-11 08:08:07
17
honneypher
honeyfah 🦋💕 :
kua busy kias ambacho hanifatilii nafanya mambo yangu fresh kbs
2026-08-16 10:27:27
11
user57275174574033
Annaah Tz :
roho nzuri ,mtoaji ila dharau ndio inanichosha🙌
2026-08-18 13:30:53
8
chammpy160
Ċḧäṁṗṗÿ 🥷 :
demu wangu mbna simuoni
2026-08-18 00:02:29
5
kingcoco_jr
doctor doom :
Kuna bebe zenu af kuna sisi hatuulizwi at umeshindaje
2026-08-11 15:01:53
11
sarah532020
SARAH STORE KKOO🦋♥️🦋 :
Nielezee kwa Kusimama au kwa Kukaa
2026-08-22 10:48:22
9
warda..o
warda :
𝒖𝒃𝒐𝒐 𝒖𝒑𝒆𝒏𝒅𝒐 𝒏𝒂 𝒉𝒖𝒓𝒖𝒎𝒂🥰🥰🥰
2026-08-11 18:22:13
16
tas_mia1234
baby girl_1234 :
wakaka wanaokaa smart mda wote mungu awajalie maisha marefu
2026-08-13 11:36:13
71
To see more videos from user @itsnelly_choppa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About