dharau kejeli kutokuthamini ndo maisha baadhi ya wanawake tuliokuwa kwenye ndoa dah inaumiza sana wallah🥺🥺
2026-08-09 09:19:04
26
mjane wa ndoa :
vipi nithaminiwe sio msomi nmekuwa kifefe baada ya kuzaa watoto6,Allhmdulilahi mpk nmejiita mjane wa ndoa sioni kama niko kwa ndoa najiona mtumwaLakini sitachoka kumshtaki Allah naamini ipo siku....
2026-08-08 08:18:36
35
💝💝Loverly💞@@💫 :
ndo maisha yangu Aya licha kuvumilia kote jana nmeandikiwa taraka napitia kipindi kigumu kisa nimemtafuta mchepuko wake🥹
2026-08-10 08:25:11
3
Sydhia Cloud :
kipigo kilinifanya nikaijua Dua ya nabii yunus alipomezwa na samaki.... Allhamdullilah NAMI Allah aliniokoa kwenye tumbo la ndoa yenye ukatiri 😭😭
2026-08-08 10:05:49
32
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
maneno machache but kuna ukubwa na hekm ya maneno haya😥 wanawawke Weng wapo single Ndan ya ndoa ,
2026-08-09 07:49:39
9
Asia Ramadhani :
umeongea maneno mazuri
2026-08-08 03:30:27
7
QutePee :
umeongea vema sana
2026-08-09 18:24:29
2
janeth yohan :
Mimi nimechoka 😭 ninawiki moja Toka nimejifungua napata taarifa mwanaume kaoa anakuja kwangu asubuhi akiwa ameogaa nachoka mimi
2026-08-09 18:50:03
0
Husein Said :
ndo mm sahiv
2026-08-08 11:13:14
2
wizzy ommy :
daah
2026-08-08 19:30:04
1
rizikimajata :
swadakta
2026-08-08 15:51:14
1
Elizabeth Ismaili :
nikweri siku zote chumvi huwaga haisifiwi ikiwepo kwenye chakula ila ikikosekana ndipo inaonekana umuhimu wake ndio ivo ivo Ata kwamke akiwa hayupo
2026-08-08 13:23:38
3
AISHA JUMAA :
yaan kama umeingia kwenye moyo wangu
2026-08-08 18:23:19
4
storm :
mm hata ndoa imenifika mwisho ni mume huyu . subra ishaisha ilo baki ni kuondoka tu
2026-08-08 18:49:39
1
Sity :
waambie ustadh coz huwa wanajizima data hao
2026-08-08 13:52:03
3
salumsudan :
naogopa sana hii siku
2026-08-08 18:04:49
3
mariamu :
sahihi😥😥🙏🤲
2026-08-08 10:47:25
2
Bahati1 :
Asante Sanaa kaka😭😭😭😭😭
2026-08-08 17:13:18
1
Beby morgan smith :
ni kweli kaka angu
2026-08-09 06:31:16
1
Pojoasha :
ukweli kabisa ustadh
2026-08-08 18:42:25
1
To see more videos from user @khalifaomary06, please go to the Tikwm
homepage.