@mzeewamastory: hii ndiyo nyumba iliyowashangaza watu wengi sana na kuwavutia. tazama hii video mpaka mwisho ujionee mwenyewe. 🏡✨#TikTokHomes #DreamHouse #HouseTour #FYP #viraltiktok

mzee_wa_mastory
mzee_wa_mastory
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 20:59:37 GMT
11949
621
15
45

Music

Download

Comments

america20983
. :
hamna hata lift?
2026-08-17 13:52:12
0
ramadhan.juma303
Ramadhan Juma :
inshallaah
2026-08-17 14:37:04
0
user613373062437
paffu dady :
Kwan hamisi yeye anasemaje 😂😂😂
2026-08-08 11:16:12
1
victorykambale1
VICTORY seleman🇹🇿 :
i like it Ok 👍
2026-08-11 18:36:18
0
hamisi.mwankenja
yyyyyyadsdxxvc :
hamisi mm apa
2026-08-08 05:06:13
1
user17812152179553
Hamissi :
hamissi anaweza hatayey anazihera
2026-08-15 19:51:09
0
chrisglmarekani.com
chris G.L Marekani 🇨🇩🇺🇸 :
hamisi ni Nani?
2026-08-07 21:05:51
1
feisalkhalfan578
Feisal Khalfan578 :
haallaaa
2026-08-08 10:23:16
0
user26594533821073
kinyonga :
usipoteze pesa kwny nyumba kama hii haina faida yyt. jenga nyumba ya kawaida pesa wekeza kwny biashara. ukisha😅jaa humo ni mwezi tu umeshalichoka
2026-08-13 08:00:02
0
jayh620
Osman 1998 :
hapo ndo waga namshangaa mond ana hela lkn nyumba anayo ishi kapanga Alf ni ya kawaida tu cjui video kama hz waga azioni.kz yake ni kununua saa za galama tu
2026-08-08 07:19:13
1
dady.santos901
Dady Santos901. gmail. com :
Hakuna kupunguza steres sasa Uwe na jumba kama hilo hafu mkeo akuchiti na umkamate harafu uje upunguze atress
2026-08-16 15:11:49
0
user4314035616995
Dieudolla5 :
👏💪💪💪👍
2026-08-13 18:56:04
0
rithasilayo303
Rithasilayo123 :
🥰🥰🥰
2026-08-08 08:19:41
0
hamissanga02
divinerchuma20 :
🔥🔥
2026-08-07 21:03:50
0
amuribienvenu
amuribienvenu :
🤣🤣🤣
2026-08-08 21:24:24
0
To see more videos from user @mzeewamastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About