@lifewithcapricorn1: @IBRAAH #fyp #foryou #viral #foryoupage #viralvideo

CAPRICORN♑️
CAPRICORN♑️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 21:04:33 GMT
129314
6122
1743
244

Music

Download

Comments

sweet.lady929
sweet lady ♥️ :
aliniambia hiv
2026-08-08 15:07:34
206
estherm532
-Its -Ebbery 🧸❤️ :
Hataki kushauriwa ,hapend kuchart ukimpgia kupokea simu changamoto had ajisikie kuongea ,anauliza kwan lazm tuongee kila siku alooo 🥹🥹💔 sio asubh wala usiku yup busy 💔
2026-08-08 09:56:12
283
naissam18
Radhia ☘️🌸 :
Usiombe mtu aigize kukupenda 🙌🙌🥹❤️‍🩹
2026-08-08 18:06:19
205
paulyne2604
💕 :
naomba tuung group la wanaoumizwa na mahusiano😂😂😂😂😂
2026-08-08 21:10:51
74
mayhassan6486
mayhassan :
ikifika ya tunaosalitiwa na bado tumeng'ang'ana mniamshe 😂😂
2026-08-08 18:12:15
47
farida.fundi5
farida fundi :
Aiseee comment karibia zote ni za wadada tu ukipata nafasi ya kumtesa mwanaume usichezee hyo fursa 🥰
2026-08-08 13:18:26
117
gods.gil
winifrida mkongwa❤️❤️ :
🥺🥺🥺mawasiliano mpaka nianze mimi kumuona mpaka niombe mimi aisee🥺🥺🥺
2026-08-08 12:23:24
41
faisocappuccino
🦋PRETTY FAISO🦋 :
NAMTUMIA TEXT NAKUPENDRA ANANIJIBU POA MIDA BAS😂😂😂
2026-08-09 14:34:24
22
doriccy
dee🎀 :
Alioa 🥺
2026-08-08 20:34:05
12
reyna.reynah
Reyna ♉️ :
Mtu gani yupo bize Kama SGR🥺
2026-08-08 14:12:07
17
official_aziza550
Aziza michael :
dharau 💔 m siwezag kuvumilia wallah vile
2026-08-08 13:15:54
33
wtinesqueen
@wtinesqueen :
nilidate na mtu miaka minne na nikaja kuambiwa hatukuwah kuwa na mahusiano 😭
2026-08-08 18:23:16
5
mercyelias139
official mercy🤍 :
ex wake anamuita mume wangu nikimuuliza anasema wanaheshimiana wametoka mbalii🥹 nikimtafuta ex wake anakua anamprotect kuliko mimi🥹😂
2026-08-09 08:42:34
7
officialnelly82
MisNelly❤️🥀🎓 :
Gubu, dharau, akikosea hatak kuomba msamah🥹🥹
2026-08-08 12:29:46
6
mercy..24
official mercy24 :
niongee kwa kukaa au kwa kusimama🥺
2026-08-09 08:30:05
8
reiyan.islam4
Reiyan Islam :
Anadharau sana japo najua ananipenda pia ila dhalau ndo mahali pake
2026-08-08 09:15:52
42
kolethakiyondo
Ninah Omary :
haonyeshi kujali kwa lolote nipo hapa najiandaa kuanza upya maisha yangu mapenzi ni uhalifu😳
2026-08-09 14:47:17
17
ryne2047
ryne🎀🦋🎤 :
Nili mkuta na sms za mwanamke nikamuuliza uyu nani akanijibu MPENZI WANGU 😂😂😂😂 aya bwana
2026-08-08 12:31:27
38
souhaila0389
💗souhaila💗 :
nilichoka kugiziwa kunipenda wakati ni mnafiki kwa sababu najua kwa mtu anakupenda hawezi kukosa muda kwa ajili yako 😏😏
2026-08-09 14:12:07
8
nahyarupia
nahyarupia826 :
Nilimwomba hela ninunue kitu akanamby unanifanya mm kitegauchumi kila kitu una nitegemea mm aiseee😇😣😣😣
2026-08-09 15:26:26
5
joo7_comedie
Joo7_comedie :
Alisema hayuko sawa kichwani anavitu vinamsumbua ko nikae mbali na maisha yake siku akiwa sawa atanitafuta,na akasema yote mazuri nlomtendea anayakumbuka na ikibidi ipo siku atanilipa🥺💔
2026-08-26 14:53:17
8
To see more videos from user @lifewithcapricorn1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About