@fmmazao_connect: Happy Birthday to me! 🎉🌾 I have celebrated my birthday on Nane Nane all my life, but somehow, 2026 made the date mean something different. The day Tanzania celebrates agriculture is the day I was born and this year, I found myself right in the middle of the food chain, building, learning, connecting people and discovering a purpose I never knew was waiting for me. Maybe Nane Nane was never just my birthday. 🌱 I was born for the food chain, and along the way, I found purpose. Utathibitika katika haki utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia. [Isaya 54]🙏 #productiveafrica #mazaoconnect
Fauster Mndunde
Region: TZ
Friday 07 August 2026 21:10:15 GMT
Music
Download
Comments
Super Husband :
kuna kampuni nyingi za kilimo na uuzaji wa mazao ziliishia kwenye utapeli inaumzia sana kwakweli.
mfano wa kampuni hizo ni
JATU
JADEJA
VANILLA INTERNATIONAL
na wote hao walijinadi mbele ya vyombo vikubwa vya habari na kuaminisha watu kuwa wao wanafanya uhakika lakini mpaka leo watu wametapeliwa na kesi bado hazina majibu
2026-08-07 22:13:17
2
Joshua Marandi :
Happy birthday madam
2026-08-07 21:21:53
0
Rj macho :
happy birthday madam wetu fauster
2026-08-08 01:01:59
0
SHOP CODE DISCOUNT (official) :
See my sister 🥰🥰🥰🥰 dada fauuuu go dada
2026-08-08 11:49:59
0
user9150534934059 :
Happy birthday dear madam
2026-08-08 12:56:43
0
wistonchanzi :
happy birthday my lovely sister 🎊
2026-08-08 17:47:43
0
grace :
happy birthday Fau
2026-08-09 09:24:06
0
mama p :
hbd cuzo enjoy your day
2026-08-08 22:30:04
0
mis ever :
hbd kipenz
2026-08-08 04:56:58
0
bernadetter001 :
naomba niunge kwenye group dear
2026-08-09 15:25:19
0
d .szb :
hbr dada namimi unaweza niunga kwenye group la mazao namasoko
2026-08-13 15:05:46
0
kaduma_store :
Ongera kwa kuongeza mwaka mwingine Dada Yangu
2026-08-08 09:19:02
0
Kelvin Eliamani :
hongera shemeji yangu
2026-08-08 07:07:06
0
priscajohn808 :
hbd madam wangu mungu aendelee kukupa afya njema 🙏🎂🍼🍾
2026-08-08 10:10:39
0
Brandfamily2025🇹🇿 :
happy birthday my sister MUNG azidi kukufanya uendelee kutupa fulusa zaid upande wa mazao
2026-08-07 21:20:19
0
mfaume_1989 :
hongera sana madam boss
2026-08-08 15:02:01
0
vailethpopitolo :
Happy birthday madam..tumezaliwa tarehe moja🥰🥰 Mungu akuongoze kwenye harakati zako
2026-08-07 21:42:19
0
Ms Thomas :
Watu wa mikoani ndio waongee mambo ya Kilimo sio watu mjini. Njombe pleeease msidanganyike.
2026-08-26 10:50:45
0
Sollaxy🇹🇿 :
mpaka mje mshituke wenzenu washatengeneza hela kubwa Sana
2026-08-11 05:03:10
0
Billo foods Tanzania :
🔥🔥🔥
2026-08-08 12:48:44
0
danbrian :
💪💪
2026-08-07 21:13:28
0
To see more videos from user @fmmazao_connect, please go to the Tikwm
homepage.