@ekibobo.1: Transporters deserve maximum respect part 11#truck

peter idewa papa
peter idewa papa
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 07 August 2026 21:15:02 GMT
357618
18389
193
259

Music

Download

Comments

jerahpeter
jerah 🦋 :
mzee, apo ndio panaitwa panama ama[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 08:51:48
0
oumason10
Billionaire96 :
Ukimskiza huyu mzee vizuri unaeza dhani amewahi fanya kazi kwa meli 🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 06:39:46
60
ekibobo.1
peter idewa papa :
Transporters deserve maximum respect part 11
2026-08-07 21:15:28
46
ericodalisae
ericcoh :
my father in-law hana kazi mnaeza mpea hii
2026-08-08 19:17:15
12
tabithamilimo877
Shazy B :
That marks are called plimsol mark
2026-09-20 20:07:33
2
blackscorpion647
ODOGU :
samaki gani inaeza ruka juu hadi ifikie hao majamaa?😳
2026-08-08 01:38:50
10
bilha183
miss kosgei💝💥💫 :
hawangechora nje ya bahari boss??
2026-08-08 03:49:16
9
xonyj2
Gean :
si yafaa mpark kwa stage kwanza ndio mpake rangi😌
2026-08-08 10:55:34
13
trizah9557
Tess✌️ :
hawa na wenye tuko saudi n same
2026-09-03 23:06:32
2
user71653770179341
ruth :
kindly tulezee container ikiaguka kwa maji.. what happens next
2026-08-08 07:58:43
5
amenemopekeeperof
Amenemope:Keeperof Maat shrine :
wako wapi wale wa "what a man. can do a woman can do better"
2026-08-08 12:02:39
4
modestamaraka.mmb
Modestamaraka Mmbishi :
mungu azidi kuwa tia ngufu kwa hii kazi wanafanya
2026-08-07 23:43:01
6
achibela63
achibela💗💗 :
Hawa siezi kula transport Yao itaninyonga tu bure
2026-09-19 14:53:50
2
iddihasaan001
IddiHaSSan :
uliachaa sisi na trucking industry tuiendeleze
2026-08-22 09:49:11
1
queenchrintex
mighty :
ni lazima ipakiwe rangi ikiwa Kwa bahari???
2026-09-12 12:10:50
1
josphat.ngome
Josphat ngome :
sasa mbona wafanye painting meli ikiwa kwa maji that's my question Mungu anatulinda but sisi pia tunafaa tujilinde
2026-09-29 10:06:13
2
capt.ezra
Talisman Ezra :
endelea kuleta stori za baharia sana .mimi pia ni baharia
2026-08-08 09:01:24
1
enock.makoga
Enock Makoga :
baharia kazini 👏👏👏👏👏👏
2026-08-08 10:28:53
1
markalvin254
Mark Alvin :
😂😂shark huwa inaruka ruka
2026-08-09 08:02:45
0
fancy20260
Fancy2026 :
mbona waandikie ndani ya maji na hua inasimama kando 😳😳😳
2026-08-19 08:26:54
1
thuo754
Wamuthaka :
naeza fanya hiyo kazi
2026-09-11 17:29:16
1
ephraimmalungu0
ephraimmalungu267 :
bro si wanalipwa..hawafanyi bure.. akuna kazi rahisi
2026-08-08 08:29:57
2
user5286657247979
user5286657247979 :
wee mzee nakukubali sana sea hope
2026-08-08 06:39:23
2
johnsimon698kiangu
pabro SAIROL45 🇸🇦⛵🇺🇲 :
ndo majukumu ya AB Ayo 😂
2026-08-08 02:10:05
2
sumaly087161
sumaly087161⚓⚓ :
baharia wote tukutane apa
2026-08-08 04:18:47
1
To see more videos from user @ekibobo.1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About