@muslim02130: #tiktikviwes #tiktoktanzania #muslsm02130 #islamic_video #tiktokkenya

Muslim.☪️.🕌.🕋☝️
Muslim.☪️.🕌.🕋☝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 07 August 2026 22:42:39 GMT
49653
4150
80
252

Music

Download

Comments

92197620zzz
Zam two 🌹 :
Bora nibaki single mather
2026-08-08 07:21:57
12
user83066061916
fetty :
mmmmh nimewek stuts loooh ndoa sinaa ukuu😂😂😂😂
2026-08-08 06:23:47
4
husnat080
husnat :
bc ni mm maana ataka kunioa mke wa tatu n sema mm mdo wa mwisho ss ntaka nimpe penzi la moto hdi achanganyikie ili wa nne asingie ww huongopi shida yangu wifi na kula tu Sina shida na raha zaidi mm ndo mdogo so atanidekeza sana ndio ninavyo jidanganya hvyo😅😅😅😅
2026-08-08 06:18:44
4
m_gaeleve2207
Bi Hawah☪️🇸🇦🇰🇪 :
naulizaje mume akiongeza mke,kuna hatia mimi nikiongeza mume🤔
2026-08-08 10:16:39
6
najydecuty
mom :
haya ndo mambo yatanishinda mimi
2026-08-08 02:41:19
21
aishaalihamad1
MRS SULLE :
mm nawashauri atakama katika wakezako wawili unampenda mmoja ila usioneshe dharau kwayule ulokua humpendi
2026-08-08 05:34:10
22
ms.peytie
Hajra 🍓 :
Mie ukishaoa mie ndoa hiyo kwaheri
2026-08-08 07:30:17
5
aishachopa_cute
Aishachopa_collection :
Mi ndo uyo ninae pendwa sana❤️mana au basi
2026-08-08 09:29:09
2
user4610793438533
Shakira ashimu❤️ :
Ili swali aliulizwa mubaba wangu wakati ndo katoka tu kuoa 😆😆😆😆jibu lilitoka apo mie oiiiiiiiij😆
2026-08-08 07:03:16
2
umu.khadija05
umu khadija :
kweli kabisa
2026-08-08 03:01:32
2
user14069407197405
Aisha shaffyshaffy 💔💚💜💦 :
Mimi jamani
2026-08-08 10:43:50
0
user66740615429306
ZITABAKI STORY :
swadacta
2026-08-08 13:50:39
0
itz_me1k
atifuحياة💪 :
sahihi
2026-08-08 14:21:17
0
queen785390
queen more nyato🍑 :
Naam naam
2026-08-08 13:41:30
0
sweety.barqis
Sweety Barqis❤️ :
Me apo tu nachoka tu jmn
2026-08-08 06:48:55
0
salha.challah
salhachallah :
Hakikaaa🙏🏽🙏🏽
2026-08-08 09:22:40
0
mama.ruyhama
Mama Ruyhama :
ukweli kabisa
2026-08-08 05:09:15
1
queenherselfshemjuu
@Officialshemju :
mm anpndw mke mkubwaa kulk wotee😏😏😏😭😭😭😭😭naumia mimi
2026-08-08 06:27:53
2
fifibambino5
Fifi Bambino :
na waume zetu wana mitiani uyo mwenye kupokea na mafagiyo ndio hanaepenwda twendeni tutafika
2026-08-08 04:24:48
5
sajda.adams
Sajda Adams :
Akisha kuoa tu kama wapili immediately anaanza kutafuta watatu,akishampata namba tatu anaanza kutafuta wa nne,hawa watu hawaridhiki.
2026-08-08 08:39:01
2
unknown84103
Unknown🦋 :
Sheikh mambo hayafanani 😂😂😂😂
2026-08-08 08:08:48
1
mishybarblie
💋🌸 :
wanaume wanapenda heka heka😀
2026-08-08 08:51:49
0
zennabintally
ZennaBintAlly :
@minaah doki🦋🌸
2026-08-08 03:09:34
1
kindamba530
kindamba :
🥰🥰🥰
2026-08-08 00:37:29
2
farihyasuleimani
Farihya Suleimani :
❤️❤️
2026-08-08 02:25:56
0
To see more videos from user @muslim02130, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About