Nyerere anajua Alichokifanyagaa kwenye mikoa ya Pwani
2026-08-08 06:14:43
30
David Myalle :
LINDI, miyeyusho sana
2026-08-08 05:27:37
38
kungwiorg :
Lindi ni mzuri sana kimadhali
2026-08-08 17:34:53
0
Seisal :
Miji iliyotupwa na Serekali.. Lindi na Tanga mjini
2026-08-08 06:00:12
110
RONYA BOY :
successful based on reason and reality 🔜💸💸
2026-08-08 05:47:04
2
Dinero :
Beautiful
2026-08-08 12:18:46
1
*miss jeslyn* :
najichukia nikikumbuka nimezaliwa uwo mkoa
2026-08-08 06:07:43
14
khaleesi :
Siku nmetoka kwetu kigoma kutipot lindi kazini nilichoka jamn😂😂
2026-08-08 13:37:34
5
Abbas A maokomoa :
Yaani mkoa wangu kila nikirudi Tz likizo na kupita hapo kuelekea nilipozaliwa Nachingwea Roho inaniuma sana yaani Lindi yetu imekufa maisha magumu kazi hakuna vijana wengi tunaojitambua tumeukimbia😳😳🙏
2026-08-08 01:16:11
20
First boe_Dill :
Ila mkoa wangu kuutetea kazi sana 😂
2026-08-08 02:24:27
17
Smash🍀 :
Ina Jiografia nzuri mno 🙌🏽🙌🏽
2026-08-08 07:45:00
27
simonnhiga :
Lindi kuanzia mkoan ad wilaya zake maendeleo n hafifu sana aisee
2026-08-08 05:44:16
26
user8583042679142 :
Cha ajabu ni ata Mji wa Malindi Kenya unakufa kibiashara,ama jina ndo shida
2026-08-08 01:01:12
13
Ally Mtepa :
here we go
2026-08-08 02:16:55
1
MayungaTZ CollectioN ✡️ :
Mkowa wangu unadidimia sana asee vijana tumeukimbia kabisa
2026-08-08 05:53:07
7
Mbuji Traders :
Yaani mji una zidiwa na Masasi 😊
2026-08-08 12:35:32
5
Cousin_Richard🧠 :
Dah nimeoma shule yangu Stadium ilivyochoka
2026-08-08 10:52:26
7
veer dhaheer :
Yan inasikitisha sana, kama kilwa ndo mji uliojitengenezea pesa yake lkn saiv kumekua hakuna kitu yan mkoa wa lindi umekufa haswaa ,labda ikimalizika Ile Bandar ya kilwa labda patachangamka
2026-08-08 05:38:01
5
young traveler :
distance from dar to lindi?
2026-08-08 02:43:17
11
martedimohamed :
kitu ambacho hujui iyo ni mipango kwasbb huwezi kuelezea historia ya mikoa ya pwani bila ya kuutaja uislam na serikal hii kwasbb ipo ktk mfumo kristo hawatak km historia y zanzibar inavyoibeba pia ilikuw inawezekana lindi,mtwara,mafia,na kilwa historia yke kuibeba kiuchumi
2026-08-08 18:13:38
0
TARIQ :
NJOO LINDI UTEMBEE ❣️
2026-08-08 07:48:09
1
Stopper :
Mkoa mzuri sana,inasikitishwa umepooza mnoo
2026-08-08 12:05:14
2
Mr Salva :
kwakweli inasikitisha mkoanikwangu panadidimia kilaleo mimi nimzaliwa kisa apa Lindi mtaani kwetu ni mpilipili
2026-08-08 06:01:46
3
To see more videos from user @assad_mzururaji, please go to the Tikwm
homepage.