@djsma255: 45t VS 56t! BONGE LA COMEBACK KWA TANZANIA! DEAL REFINERY TANGA NA UGANDA! UCHAMBUZI WA HILI DEAL! NANI KAPATA DEAL BORA? MOMBASA AU TANGA? #DJSMA #DJSMA255 #ADVENTURE #FLIGHT #travelvlog #IPHONE17 #FOREST #IPHONE #SNS #TANZANIA #AFRICA #daresalaam #GEOPOLITICS #TANGA #History #DAR

SMA
SMA
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 04:45:56 GMT
11078
486
34
36

Music

Download

Comments

dhidhasalim
dhidha salim :
Muda utaongea,ipi itakuwa na mafanikio zaidi,ya lamu au tanga.
2026-08-08 10:27:45
4
heed596
heed :
well broo, na itaanza lini na itakamilika lini, hapo ndo kizaaza.
2026-08-08 04:59:41
1
tinodady
Tino Dady :
umesahau pipeline yenye bidirectional capability between UG and TZ ya refined oil
2026-08-08 07:19:19
2
jeyfour255
Sultan 🥋 :
kaka kunawatu unapowataja viongozi kwa uzuri wanakasirika hao. 😂
2026-08-08 11:15:16
2
mobaaroos
OfficialMo✅🕢 :
💯
2026-08-08 08:59:05
1
mkatalunyatz
Mkatalunyatz :
big brain
2026-08-08 19:08:40
1
fatmahshayb
Fatmah shaybu ❤️ :
muongeaji wangu my brother
2026-08-08 08:32:35
3
mejamiela
mejamiela :
umetisha sana kaka
2026-08-08 10:45:55
1
sanaya1323
sanaya :
kazi nzuri
2026-08-08 10:24:03
0
omarymaembwa1
libila :
huyu jamaa anajua ila anazunguka sana mimi ndio simsikilizi sana namfuata raby
2026-08-08 12:32:06
1
willywilly108
Willy Willy2331 :
kama kuna nchi iko wivu na Kenya tz, hii ni kama vile SGR bila plan sababu tu kukomeshe Kenya 🤣🤣
2026-08-14 21:31:33
0
mmwasimba
Mpoki Mwasimba :
walituchezea rafuu nasisi tumewapoteza kwenye timing
2026-08-08 14:00:54
1
homeless_dragon
Talos :
Jamaa anazunguka hoja hafiki kwenye point 🤣🤣🤣 Dakika 3 nzima anajaza misemo tu, em tembeeni na logic kidgo media za Bongo ndio zinapenda hii michezo ila wenye akili hawapendi kucheza na maneno dakika 5 bila hoja yeyote.
2026-08-08 11:25:09
1
dhidhasalim
dhidha salim :
Hazijajengwa bado.Wacha zijengwe ziishe zianze kufanya kazi.Tuone uzalishaji utakavyokuwa ndio tutaona nani kamzidi mwenziwe.Kwa sasa hivi ni kelele,mbwembwe na ushabiki na hisia nyingi.Muda utatoa majibu sahihi.
2026-08-08 10:52:04
0
arr0w123
Arr0w :
2026-08-08 04:58:40
1
msellesambarai
MICHAEL MSELLE 🤖 :
SMA isome hiyo MOU vizuri hakuna sehemu yeyote ambayo imesema makubaliano hayo directly yanaeneda kujenga refinery. Hivi unawajua ccm kwa propaganda vizuri wangeishabikia sana. Makubaliano ni ya kimya kimya na ndo maana hayana hamshahamsha coz wanajua wabongo wape kichwa cha habari habari wateleta wao. Nakuhakikishia kabisa kwenye MOU iliyosainiwa hapo jana hakuna makubaliano ya kujenga refinery directly bali ni kuifanya tanga kuwa TANGA INDUSTRIAL HUB. Kasome OFFICIAL press release ya serikali ya UGANDA imeeleza ukweli wote.
2026-08-08 11:01:19
0
barnabasi486
Barry23 :
unachambua kwa mihemko sanaa, the way unavyoshadadia huo mkataba, kwani Kuna mikataba minga nahaitekelezeki kwa wakati...? RIP Magu.
2026-08-08 08:58:55
1
didasminja
DIDAS MINJA 🇹🇿 :
USIPO MWELEWA "SMAA" ATAMAISHA YAKO HUTO YAELEWA
2026-08-10 07:26:03
0
md_uowais
MD Uwais :
😊😊😊😊😊
2026-08-08 10:26:00
0
To see more videos from user @djsma255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About