Tunajitenga hatunaga magroup wala company za mashostiiiii… hatupendi mkusanyikoo wala sehemu pa watu wengi… hatupendi uchafuu! Tunapenda usafi na kunukiaaaaa sanaaaaa..
2026-08-08 20:07:32
83
cute :
sasa hivi tiktok ni marohani😂😂
2026-08-08 17:50:29
47
MYMSUSI.TABATA🇹🇿 :
me sasa jmn sijui mwaka wa ngapi huu sijafanya mapenzi na najiona niko normal tu yaani hata sioni km nina tatizo sijawahi kuwaza kuhusu kutoambwa na sipendi mimi kutoa mbwa jmn😂
2026-08-08 16:14:29
18
lizzy😍😋 :
huyu ni mimi japo inaniumiza unakuta kuna mtu unampenda sana na mnaanza vizuri gafla hamna kitu daaahh😭😭😭
2026-08-09 20:18:53
14
Prettyyasmin :
kuna mda nalia nakuwa na machungu kwanza kama sina hela ama walionikosea
Mimi huwa nafeel kama niliishi zamani coz Kuna situations huwa nazikimbuka kabisa..yaani kanambwa maisha ninayoiushi nilishawai kuishi zamani
2026-08-08 23:03:36
8
Fatma Nassibu :
dadangu kama ulikuwepo kichwani kwangu yani hayo yote yapo kwangu mimi yani mapka sielewi
2026-08-08 19:39:03
11
Furaha rita🦋 :
hukitaka kuongeya na maruhani hunawenza ogeya nayo aj?
2026-08-09 08:55:01
0
manaal Muhammad❤️💦🫰 :
Mimi Hata mwanaume akiniingelesha nahisi kutapika Na sometimes naweza kuua (men) single for 6yrs now
2026-08-08 14:17:36
7
It's Aisherly🥵💞 :
Nachoka mie acha niwe single sasa😏😂😂
2026-08-09 16:52:08
0
Riziki :
waah nitaolewa na nani mm maana sifanyiwi kinyume
2026-08-09 03:35:07
0
user mamucash💸 :
umenifanya nilie
2026-08-09 12:46:59
0
usermariahher :
mm kupitia kwa nyimbo za kuabudu mpka machozi yanatiririka .
2026-08-12 09:35:10
1
fatuma :
ni kwel dada
2026-08-09 06:33:21
0
Madam jassy :
kama umeniona vile
2026-08-09 06:18:54
2
Naz heart ❤️❤️ :
na kwann wakat mwengine wanakuambia utaelewa na Fulani na ayadumu
2026-08-08 13:52:54
3
Hashim Mshia :
Ni mashetani bana sio maruhani, maruhan wa kweli husumbuki wala ndoa hawaharibu, watu wengi wanasumbuka na kazi, ndoa , pesa wakihisi wana maruhan kumbe ni mashetan, sababu shetani huwa hapendi jambo lolote la kheri. Ikiwemo ndoa. Na wengi fuatilia hata anaenda kwa mganga anaambiwa ana marohani kumbe ni mashetan, sasa tangu lini shetani akapenda upate kheri?
2026-08-09 20:44:07
3
Boy Hans :
si tuoane wenyewe tulio kwenye kwenye comments! me pia ni muhanga 🥺🥺
2026-08-08 22:23:25
4
MN :
tupe solution dear
relationships hazi work ata marifiki sina
2026-08-08 14:59:30
3
Naya🍒 :
nimechoka mm sijui nayatoajeee🥺🥺🥺
2026-08-08 14:38:53
3
Abdul Ndembo :
sio nyie tu mimi mwisho jana nimetoka kumwambia mwanamke wangu tabia zake zote anazo zifanya kuhusu wanaume zake
2026-08-12 14:22:28
3
Herlym :
Mimi pia kila akifanya Kwa Siri nikilala naonyeshwa kila kitu,chochote akifanya Mimi naona
2026-08-09 06:21:13
2
To see more videos from user @zawadi.mukhulu68566, please go to the Tikwm
homepage.