@soundofrevival5: CHOCHOTE UNACHOFANYA, FANYA KWA SABABU NI MAPENZI YA MUNGU | EV DANIELY JOSHUAN Mapenzi ya Mungu ni zaidi ya uzuri na ubaya #rgcministry#fyp#revivaltime #creatorsearchinsights #creatorssightinsights
nilipata mmoja tena tumeokoka wote , kila wakati ananiambia nakupenda na nasikia sauti ya Mungu ndani yangu tunaweza kuwa mke na mume , lakini sijui kwa nini najizuia , kumbe bwana alitaka nifanane na ex wake alikua mweupe na makalio makubwa " mimi mweusi na makalio madogo" nilipogundua hilo ilibidi nimpishe nijiweke Pembeni " hakujua na mimi nilikua kama yeye napenda mwanaume mrefu mweupe , lakini ilifika mahali nikasema Mungu nimekubali 🙌 nipe yule anaekupendeza wewe "ndipo nilipokutana na huyo nae akawa anajifosi kunikwepa 😁😁
2026-08-08 09:46:10
0
Thomas Yeshuastz. :
Shuuda, tu😂
2026-08-08 20:13:34
0
To see more videos from user @soundofrevival5, please go to the Tikwm
homepage.