Nimeondoka kwenye mahusiano bila kusema kitu, and am fine now🫂🥰
2026-08-09 05:28:40
117
official irene🤍 :
natak niondk kwamtu apa
2026-08-08 09:18:12
51
Annecute :
natamani niongee kisukuma ila hamtanielewa
2026-08-10 16:29:54
20
nurry@_tz :
Nisimblock?💁♀️
2026-08-08 19:45:28
10
naira de blessed :
my current situation 😥
2026-08-08 08:28:58
25
it's awe :
niongee kwa kusimama au kwakukaa
2026-08-09 10:05:38
15
Agness❤🥰 :
mimi ananicheat sana na nikiuliza ananiambia kwani ndo mala yangu ya kwanza kupenda naumia nimechagua kukaa kimya sasaivi😭😭🙌🙌
2026-08-08 20:32:04
29
Ester wa 20C :
mm sielewi km hanipendi au ananipenda
ananihudumia
ananipigia yy ndo wa kwanza asubuhi,mchana, jioni usiku na usiku wa manane
Nyumba ninayoishi yy ndo analipa Kodi,ada analipa na tumeoana
chochote nitakachohitaji atanipa
shida moja TU kuja kwake TU ndo imekua shida sasa huyu niondoke
au nibaki
2026-08-08 14:48:06
8
lion .94321 :
mim nimefanya hivyo hajarudi kunitafuta niko navurugwa nachanganyikiwa nifanyaje
2026-08-10 06:54:37
24
user9558054102588 :
mm jimenyamaza mwezi wa 4 huu hatusemeshani nasubir mwanangu aandike mtihan wa la nne nitokomee pasipojulikana
2026-08-10 09:11:26
6
purity Nkiro :
tafuta mwingine kesi badae
2026-08-10 17:49:57
0
MAVELEI 10JR :
hiwezi nipa mbinu mbadala afu nikunime like
2026-08-09 12:59:41
27
Lauryn Shayo :
Asante kaka ubarikiwe 🥰
2026-08-08 07:14:43
7
Zuhura Suleiman :
naxhukuru xana kaka mungu akupe nguvu
2026-09-27 07:52:25
1
Tinna :
me shasem tuachan jmn kwnn sikukuskia mapem
2026-08-08 13:45:45
6
wantedmamy :
🙏Allah akubarik xan
2026-08-08 06:35:30
7
Nancy🎀 :
Ukichoka aswaaah lazima uondoke kimya kimya no kujieleza
2026-08-10 06:20:31
5
lone wolf 🐺 :
nishaanza kwanzia jan nickumjibu
2026-09-20 17:57:35
1
Dyannh!!!!! cute :
tuache unafki ningumu kukubari kwamba hakpendi tenah
2026-09-05 09:40:57
1
Ramuziy kalu :
halafu kuna mahali umeni saidia kaka
2026-08-10 05:21:49
2
miss P🥰 :
unaniongele mimi nn......... afu hizi nakutananazo nyingi sijuh TikTok inanijua sikuhz
2026-09-13 09:07:16
2
charity :
nishaharibu basi nishatuma sms mbaya nyingi😒😒
2026-08-11 17:16:34
0
Shut up🤫 :
Je akikutafuta
2026-08-11 07:43:14
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.