@_zuzaism: Part 174 | Tunazungumzia siri kuu mbili za nishati na uhalisia. Siri ya kwanza ni kwamba kila kitu unachotaka tayari kipo, na kazi yako ni kukileta kwenye wakati wako wa sasa kwa kusisimua masafa yake. Siri ya pili ni kwamba huna umiliki wa kitu chochote cha kudumu, na hii inakuweka huru kutoka kwa hofu ya kupoteza. Ninasisitiza umuhimu wa kudumisha masafa yako ya ndani bila kuathiriwa na mazingira ya nje. #creatorsearchinsights #fyp #zuzaism #life #secret
wasichoelewa watu ni NISHATI ni kitu chochote ambacho hakijatengenezwa na wala hakiwezi kuharibiwa bali kinaweza kugawanyika kutoka umbo moja kwenda lingine. brother unatoa code za kweli watu wanabidi watafakari kwa kina sana kuweza kupambazua unayoyaleta kwetu. big up man♾️
2026-08-09 07:42:37
3
Tamim ussi :
Nime ku follow 🤝
2026-08-08 14:25:16
4
mwamba org :
wakwnza Leo
2026-08-08 12:03:58
2
christophermusa81 :
Nuru 🌄 na baraka kwako ndugu yangu Kwa somo zuri sana limenijenga 🙏
2026-08-08 13:51:38
3
4 Univers all possible 6 :
asande kaka from kenya
2026-08-08 13:49:26
5
Mchwa Boy :
bloo mbona kama unaongea mambo yamaana alaf kam ufwatiliw
2026-08-08 19:18:18
2
Kendrick Muddy :
vitabu vyote naomba offer na lipa namba mkuu
2026-08-08 13:27:56
2
Peter kabango :
nakubali kaka
2026-08-08 12:32:23
2
Ommy True love :
Asante sana kaka,,nakuelewaa sana💯💯
2026-08-09 18:33:37
0
Rommy Stylesh :
nina swali kwako
2026-08-08 12:52:04
2
yusuphabdala666 :
elimu hii uwez kufundishwa shuleni
2026-08-08 18:03:54
0
Faiza Kessyb :
🙏
2026-08-08 18:14:47
1
Emmanuel Deo :
😳😳😳
2026-08-08 20:03:35
1
To see more videos from user @_zuzaism, please go to the Tikwm
homepage.