alafu unakuta anapata 20 anahonga15 anabaki 5 na huyo mwanamke bado anamsumbua
2026-08-09 06:57:55
17
Mom:: J :
Huko kupambana kote huko ni kwa ajili ya familia wanaume Mungu awalinde sana akiwa peke yake akiwa na elf 2 anaishi vizur shida wanaomfata nyuma nilazima asime😭
2026-08-09 09:12:28
32
I.kivumbi43jr :
respect
2026-08-09 08:35:57
0
Naomi Nduye :
halafu unakuta mke wake analeta dharau unakuta anamwabia mume wake hela gani ulonipa hongera kwa wababa wote wanaopambania familia zao
2026-08-09 16:44:36
2
jud jud :
😁😁😁sijui nacheka nn
2026-08-09 08:06:29
7
MR. SIRA :
duuu!!! sizani kwa haya tunayopitia alafu kwa sir god akatuazibu tena😅😏
2026-08-09 13:10:50
4
Liver..# :
aliyeshika camera angewasaidia msingeanguka😂
2026-08-09 14:39:35
2
Mom Ammar 💝💝 :
Alf tukiomba hela ya abaya tukiambiwa Leo cna mtu haelewi duuh co poa
2026-08-09 07:58:58
6
NAYRA :
daah wanaume wenzangu tupew heshima
2026-08-09 09:18:53
4
mauya jr :
Ndo maisha kaka kazen
2026-08-09 09:37:58
1
Humble girl, :
Mungu saidia wanawaume wote wanapambana kwaajili ya familia zao
2026-08-09 10:19:28
7
Official Mmalunda :
akuna sehemu ambayo haina muinuko mkali mdo mkapakilia happ
2026-08-09 08:55:19
2
H kiumbe :
polen kk zangu ndio utafutaji 🙌🙌🙌🙌
2026-08-09 09:14:42
3
nasrii kk :
wengine tumeanzia huku ndo tukaja Dar
2026-08-09 10:08:07
1
kobelo matunda wa dutumi stend :
Kwa heshima pole kaka
2026-08-09 09:18:26
1
dansan3 :
2026-08-09 07:44:15
1
fausto mgaya :
😂😂😂😂😂pole sana kila hasooo na majanga yakeee hakuna kuchoka
2026-08-08 21:35:56
0
Adija Khamisi :
pole sana
2026-08-09 05:46:22
1
Hagai Malila :
kumbuka kumlipa hela halal camera man
2026-08-09 07:07:53
1
To see more videos from user @castotz3, please go to the Tikwm
homepage.