Sina Mimba Ila nishakufollow maana haya Madini 🔥🔥🔥🔥
2026-08-08 20:52:08
0
holinessmathias0 :
Mimi ni 10.9 nipo week ya 34
2026-08-09 19:37:48
0
Neymar Suleyman :
chai ya rozela unatakiwa kuweka sukari mana imenishinda ni chungu
2026-08-08 19:12:55
0
💞💕💞neyla msegu 🥰🥰🥰🥰 :
nina dam13
2026-08-08 18:48:17
0
Charming Changoma :
hiv doctor niwote mnafundishwa hivi au,maan sisi wengine tuna maudhurio matatu clinic hatupimwi wingi wadam hadi inavunja moyo jamni,au kila clinic wanapew utaratib wao😭😭😭😭
2026-08-08 16:35:22
0
SAFIYA :
jana nimekuta damu 10.2...loooh
2026-08-08 08:17:17
0
mama zena :
me ninayo 11.9
2026-08-08 07:24:55
0
Ashley :
mi nashukur imefika 12 kutoka 8 mungu ni mwema
2026-08-08 08:58:02
0
pearl jumaaa :
asant kwa kutupigania dokta natan nijue uko wap nihudumiwe na ww
2026-08-08 07:22:23
0
princess Vanessa :
dr mimi ni mjamzito wa week 15 na siku 7 na nimetoka kupima dam iko 14.9 nimeambiwa ni nyingi sana hiyo ni sawa mpaka nifikishe week 40?
2026-08-08 11:11:45
1
Miriam wairimu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
hedhi yangu ya mwisho ilikua 4-6-2026 je mimba yangu Ina mwenzi mingapi sai plz ???
2026-08-08 15:14:13
0
Betsheba Ndimanga :
samahan mwanangu anasehemu ndogo yakutolea mkojo akitkaa kukojoa Analiaa name siitajii kumfanyia tohara Badoo mdogo nifanyejee ilii asogee sogee kidgooo
2026-08-08 09:16:50
0
Genevieve🌹🌸 :
🙌Yan kila niki-scrow nikiona tu post yako nanyanyuka kwenda kunywa juice yang ya rosela
2026-08-08 15:24:17
0
naima noor :
me nina 11.6 nipo mwishoni tena naambiwa damu ni ndogo san ni kweli doct?
2026-08-08 15:16:57
0
murshid :
hatujui tule nn tena
2026-08-08 16:40:25
0
ZalbakHomeAppliances Kariakoo :
Yaaan Asante sana doctor Mungu akulipe wema zaidi maana sisi hatuwezi kutulipa kwa hii elimu unayotupa
2026-08-08 08:16:14
0
momobaby😘 :
hee miez kumi wakt mtt WA dada ang katailiea ana wiki 3
2026-08-10 08:54:11
0
modestagordon0 :
upo wap dckta
2026-08-09 18:54:58
0
To see more videos from user @dr.creyton_msc, please go to the Tikwm
homepage.