Ingelikuwa Tanganyika ashazongwa mpira wa ringi la gari na kuchomwa ila Zanzibar wanafikiria pia wamtie adabu vipi ili asiumie sana dah MashaAllah Zanzibar ila inauma but lazima atiwe adabu
2026-08-08 10:26:03
41
Mrs nofel :
😂 znz njema atakae aje yajayo yafurahisha😂 mi juz nimegongewa mtu anataka nimpe sembe au mchele nikamwambia Sina anambia nice nguo nifue nikasema hapa anataka kuibiwa mtu nikamwambia cna nguo chafu😂
2026-08-08 09:16:02
24
Magdalena🥰 :
uyo mbona kafanana na mimi itakua mama agu mdg 🤣
2026-08-08 14:05:29
12
oya weeee :
Zanzibari inazidi kupendeza
2026-08-08 14:46:51
6
kingsam :
Mbn mm sikutani nao hawa dah
2026-08-08 13:42:54
2
Zuwena Hamad :
Anatokea wapi huyo jamaniii
2026-08-08 09:33:22
0
Mama nurath :
niongee kwa kukaa au
2026-08-08 09:00:31
2
Monica🇹🇿❤️ :
Mnapenda kujiamulia mambo hiyo siyo Zanzibar bhana
2026-08-08 19:09:35
0
khajir haji :
hakuna haja ya kuua mtu hio2 inatosha kudhulumu nafs y bnadamu mwenzio majibu yake kw Allah n mtihan
2026-08-08 13:56:49
2
ladyruu2 :
yaan hawa walimuubia sis million mbili dar
2026-08-08 14:41:06
1
💍…🕊chuda @love 🌙baby 👶 :
hhhh
2026-08-08 16:49:00
1
Alhabiby_sam :
hii co zanzibar ni Mombasa kenya
2026-08-08 09:34:27
0
baby nuuman :
kzi ipo😂😂
2026-08-08 09:36:22
1
user3776943792586 :
hapana wa zanzibar hatupo ivyo msimdhalilishe kuna leo na kesho na din yetu tusiidhalilishe
2026-08-08 10:17:12
4
TIGER TOZZY🚬 :
mpigeni bakora huyo😂😂😂
2026-08-08 09:57:38
2
@***SHA***@ :
Achapwe uyoo kwanza baadae ndo sheria zifuate
2026-08-08 07:33:20
0
Daddy Z :
Leta waya jumaaa
2026-08-08 18:38:53
0
tuma 🥰🥰 :
kaka weee😂😂
2026-08-08 18:49:00
1
jmf :
walishaniibia kupitia hayo madini
2026-08-08 20:06:09
0
Fatma :
Eti hamna bakora😂😂😂😂ahh sis wazanzibar nakumbuka enzi zangu mama leten bakra nimpige😂😂😂
2026-08-08 18:55:36
0
Ah'sam05 :
Unajita Sharif alaf unadhalilisha watu unatakiwa kumstiri mwenzio