@cawabemedia_: Mchekeshaji nguli kutoka Tanzania, @tinwhite_27 , inatrend mitandaoni baada ya kuonekana akiwatunza watu waliokuwa wakitumbuiza jukwaani. Kinachowachekesha wengi ni kwamba Tin White alikuwa akifanya kama anatoa hela na kuwazawadia waliokuwa wakitumbuiza, huku akiwa ameinua mkono kama mtu anayetoa pesa. Cha ajabu ni kwamba kumbe mkono ulikuwa mtupu, hakuwa ameshika hata hela! @tinwhite_27 kweli anajua kucheza na akili za watu.
cawabemedia
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 07:06:09 GMT
Music
Download
Comments
Cute 🥰 :
Alafu yuko serious 😂😂
2026-08-09 05:14:22
0
Debby Brayden official :
Tin fans
2026-08-08 16:13:53
0
Vani Makinda :
anatunza kimono moyo
2026-08-08 07:57:54
20
Nasma❤️🌹 :
nimehesabu kama milion mbili hiv hiyo ya mwisho nimeona kama dola ndo sijui ni dola ngapi🤨
2026-08-08 16:40:51
4
Yohane andrew :
anatunzwa kwa hisia
2026-08-10 06:29:04
0
meyac :
na yup serious
2026-08-08 09:32:07
3
kuruthummikidady :
hahaha maajabu aya
2026-08-09 17:30:28
0
msambaa :
Yani Hilo jamaa baas tu walae
2026-08-09 09:10:29
0
Sifah205 :
ilajamani we baba
2026-08-09 14:19:29
0
Lenard Jonas :
Jaman tin kila nikimwangalia najikuta nacheka tu 🤣🤣
2026-08-09 08:39:46
0
𝕱𝖊𝖙𝖙𝖎𝖊✨🔐 :
@Kama kashika kweli yan 😂😂
2026-08-08 09:15:56
0
💖abby carino 🌹🧚💞 :
alaf yuko serious kabisa🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 18:28:24
0
irenemrema7 :
Kama umeona hela anazo tons tin white sema maana me nimeona
2026-08-08 16:11:02
0
zamzam00374 :
Ila Tin😂😂😂
2026-08-08 08:07:27
0
i'm_piram🦋❤ :
hamna tinny anakuaga seriously😂😂😂
2026-08-08 18:57:22
0
ester olivo :
Hahahhaha😂😂
2026-08-08 09:42:10
0
odo :
mana amana shida
2026-08-08 14:33:54
0
user6774360386178 :
imagination practice 🤣😂😅
2026-08-08 08:26:51
1
kHERI 🌕🌓 NDEGE :
watu wakotolo wa kuchaji
2026-08-10 06:04:38
0
@Really Life🐯 :
nacheka Kwa Mwaka Wa Mbele😂
2026-08-10 01:46:35
0
ArabianDiva 🦋📍🖤 :
anafunza kimoyo moyo😳😅
2026-08-10 05:58:09
0
Kogoty Used Items :
Hv aslay Miogo n yake kwel au niuze vitu Used
2026-08-09 08:40:02
0
_mrwatches :
Au TIN n AI 🤖 😂
2026-08-08 09:23:23
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.