@brightherbs.tz: Kunywa maji ya tangawizi kunaweza kuwa sehemu ya utaratibu mzuri wa asubuhi. Tangawizi inaweza kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kupunguza hisia za tumbo kujaa na kichefuchefu kwa baadhi ya watu. Lakini kumbuka 👇 ⚠️ Sio kila mtu anahitaji kuitumia, na si tiba ya kila ugonjwa. Tumia kwa kiasi na zingatia mwili wako. 💬 Wewe unapenda kutumia tangawizi asubuhi au jioni? Tuambie kwenye comments 👇 🌿 Follow BRIGHT HERBS kama ni mara yako ya kwanza hapa, kwa elimu zaidi kuhusu afya na lishe. #BrightHerbs #Tangawizi #Afya #AfyaNaLishe #ElimuYaAfya

Bright Herbs 🌿
Bright Herbs 🌿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 07:32:39 GMT
931
27
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @brightherbs.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About