@madiniplus_: Azim Dewji anaeleza kuwa mtu yeyote anayelala na njaa katika maeneo kama Mwanza au Shinyanga ni mvivu tu, kwani mikoa hiyo imebarikiwa na fursa nyingi za kiuchumi, ikiwemo utajiri wa madini ya dhahabu na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya kilimo cha pamba na dengu. Akizungumza kupitia kipindi cha 'One on One' cha Wasafi TV Azim anasisitiza kuwa Mungu ameipendelea sana Tanzania kwa kuipatia kila aina ya rasilimali pamoja na amani ya kutosha, ambayo inatoa mazingira salama na tulivu kwa wananchi na wawekezaji kutoka nje kufanya biashara bila hofu. Video, Wasafi TV

Madini Plus
Madini Plus
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 08:52:02 GMT
14354
522
7
26

Music

Download

Comments

user6138620824623
user6138620824623 :
kweli
2026-08-09 10:22:25
1
forever_yr
Forever :
Kwamba watu wote mwanza na shinyanga n matajiri au n wachimba madini.
2026-08-08 12:27:32
2
mdimiadam
mdimiadam :
tajiri kashiba
2026-08-09 10:59:29
1
right05050
right :
😂😂 haya bhana hio misingi ya uwezeshaji kama kuwa na soko la uhakika na lenye thamani ya pamba watu wangeacha kulima pamba??😏 mmh bila magu tusingejuwa kama hata ushuru na kodi za serikali hulipagi halaf mnakuwa wa kwanza kuwacheka masikini ambao unasababishwa na serikali kwa kuwakandamiza kila mahali huku nyie ikiwachekea tu😏😏
2026-08-09 12:38:48
1
emmanuelreopord49
dollar 100$ :
huyu Mzee akikuwa atajuwa
2026-08-09 21:21:27
0
user750636379808
treshaz tz :
🌹🌹🌹
2026-08-08 16:32:20
1
To see more videos from user @madiniplus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About