Mmmh sio mimi kwakwel, nitoe😂🙌 nakagua hadi comment facebook
2026-08-09 09:32:28
2
Abbas kuka :
umejuaj
2026-08-10 14:19:47
0
MAMA IVY&AVIEL🥰 :
biashara nafanya na simu nashika😁😁😁
2026-08-08 14:15:15
33
Nithaa :
Wenyewe wachepukiane tu sisi tunatafuta hela zetu tuwe na maisha mazuri😂
2026-08-08 13:40:56
43
careen Tz😍❤ :
kwanza mm kuna muda hadi nasahau,,mahali ninapoishi nikitoka kazini🤣🤣
2026-08-08 09:12:01
130
Msus kahama💋💋 :
Huwez amin kuna mda nasahau kama nimeolewa yeye ndo ananikumbuka mke wangu mpaka saiz upo na kazn ohoo nakumbuka hee kumbe ni mke wa mtu 😳😂😂 kazi ngumu unachanganyikiwa mda wote tu🙌🙌
2026-08-08 18:23:33
23
Madame reby :
hata kuwachunguza huo muda hatunaga kabs😅
2026-08-08 10:22:04
24
bei nafuu fashion :
mimi kuna muda nasahau kabisa kama nimeolewa.😃😃
2026-08-08 16:24:52
23
MZIWANDA ❤️🔥 :
lamda sio mim😂 kuchunguza nitachunguza na biashara nitaiwaza
2026-08-08 16:02:08
7
ashleybintsuleyma :
mbn umefungia mm nataka nidownload jmn niweke status
2026-08-08 16:32:05
8
Rehoboth_Nafaka_Store :
Kuwaka moto wa petrol kabisa😢😢🙌🙌
2026-08-08 10:48:45
8
jasmin_sweetcake :
Mimi mpaka nipigiwe simu kuwa sahivi saa 6 usiku rudi nyumbani 😂
2026-08-09 08:23:37
5
jolieda :
tuko mbele ya mda
2026-08-08 11:22:37
8
kia_perfumestz :
kuna muda nasahau kama niko na mtu 😁
2026-08-08 17:43:41
1
mama j love ❤️🫂 :
hta simu yngu mwenyew naisahau nilipoiwek oooh vichwa na vinawak🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-08 11:02:51
7
shany☘️🥀🐆 :
Umenigusa dada biashara yangu ni ndogo tu lakin inanipa headache
2026-08-08 13:45:56
1
Ommy 🖇️ :
Kuna muda nafikiri mke wangu hanitaki 😂 😂
2026-08-09 20:20:43
0
TEE GLAM :
Tuk nnje ya muda kabisa
2026-08-08 13:45:08
2
Phiner003 :
Yani umenizungumzia kabisa! Nikishika simu ya ba mtu basi naiba ela!😂😂 Na ajuagi kama naijua password yake😂😂, ata kelel mimi sina maana muda wote kichwa kimewaka nahitaj ukimya biashara inanivuruga nitapata wapi muda wakumsema 😂😂😂😂
2026-08-10 07:31:16
0
CLAUDY :
kama ulikuwa hujui hayo yakuchunguzwa na ugomvi ndio mapenzi yenyewe sasa
2026-08-08 14:24:47
2
Yasinta Kisholi :
hayo mahusiano yenyewe nakuaga Sina mda nayo
2026-08-09 06:16:04
1
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm
homepage.