@chivihi_media: #HABARI Kitaifa, Mtu mmoja anayefahamika kwama jina la Suleiman Mohamed Yusuf maarufu kama N'tu wa dili mvuvi na mkazi wa Kilwa mkoani Lindi ameiomba serikali kuboresha hali ya masoko ya mazao ya samaki. N'tu wa dili ameyasema hayo August 7,2026 katika maonesho ya nane nane Ngongo mkoani Lindi huku akiipongeza serikali kwa kutokomeza uvivu haramu na kuondoa migogoro ya wakulima na wafugani katika mkoa wa Lindi hasa katika wilaya ya Kilwa. #chivihimediaupdates #fyp #tiktokenya #tiktoktanzania