@wakojacko.spare.p: Bei Za Spare Za Body Parts Za Harrier Anaconda Kwasasa Tanzania 🇹🇿. Kumbuka Tu Kuwa Spare Parts Ni Sisi Wakojacko Spare. #toyota #wakojacko_spare #foryou
bado sana kumiliki gari 13m spare wacha niendelee kuendesha baiskel tu😁
2026-08-10 19:46:56
0
Exorcist :
umesahau kuwapa bei ya hicho kigrill chenye logo hapo mbele😂
2026-08-09 10:36:00
2
Arish .KJ :
niligonga mbwa kahama, sasa nafika Dar naambiwa bumper ni 7m😁😁😁😁
2026-08-10 14:28:05
0
kashially :
mbona kama bei zime izidi ata renge
2026-08-10 04:09:22
0
Bigboy Mkomola :
2026-08-10 11:00:48
0
yeye_eh :
Bumper ya 2014 milioni sita wakati nakuta bumper ya 2022 beforward ipo $400 ivi… halafu akitokea mtu anauza bei afueni museme anawaharibia biashara🤣🤣🤣
2026-08-09 10:44:19
2
Laoda Hogs Farm :
Msitutishe
2026-08-08 19:44:55
0
Sappy Iyobo :
Eeh ni rudishe gari ya watu 😂😂😂
2026-08-09 09:29:32
0
Aless_FX📉📈 :
NAOMBENI NA MIMI NIWE NAUZA IVYO VITU🤣🤣🤣.
2026-08-10 09:24:27
0
Daniel Patrick Robert :
siazimimishi nkununua😂
2026-08-10 13:08:48
0
wasakatonge :
mama yangu na ist yangu naomba nisije nikaigonga hiyo gar
2026-08-10 14:19:13
0
King Samy :
naah hizo spare mnatoa wapi bei haiko hvyo mbona kila siku niko Dubai hakuna hizo bei
2026-08-09 07:22:43
1
Dafa Classic Suits :
Ahsante san😂
2026-08-09 08:52:39
0
D*C :
😂 labda sio machimbo dar nayoyafahamu
2026-08-09 01:44:47
0
ilynpayne818 :
Siwezi kuamini hizo bei unatupiga kijana
2026-08-09 09:06:38
0
J_jr Forever Young :
Toyota spear parts ni nafuu sana au mmi ndio sielewi maana washauri ni wengi sana
2026-08-08 18:32:21
0
ayuomy :
Kwann taa ya Kulia na ya kushoto zina bei tofauti 😂
2026-08-09 11:43:07
1
Haji Nachembe :
kwahiyo hapo tayari kwa gharama hizo imeshafika million 40 hapo bado engine hapo chassis na viungo vyake haujasema,, ukitaka kuiunda hiyo gari kwa kutumia hizo spare c itabidi tuwe million 200ml?
2026-08-09 16:35:19
0
Bigfish cars :
tutaagiza tubaï kaka 😂
2026-08-09 04:28:54
0
TAHO M Group✅️ :
Je unaweza kuifanya haria ikawa kama kwenye picha hapo, hiyo haria ni kali
2026-08-09 06:15:22
0
Kamili Bantu :
siitaji kujuwa bima itausika
2026-08-08 21:29:24
0
gregs17 :
Usitutishe. Mpaka tunainunua manake hiyo gari tunawexa inunua mara mbili.
2026-08-09 17:00:52
0
To see more videos from user @wakojacko.spare.p, please go to the Tikwm
homepage.