@promentaconsultancy: Fata hatua hizi kubadili umiliki wa chombo cha moto wewe mwenyewe bila kuhangaika. Mfumi umekurahisishia kila kitu. Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi namba kwa bio 📍Dodoma 🇹🇿 #taxcompliance #taxconsultant #biashara #tiktoktanzania🇹🇿