@oneminutewithsheikhjamal: Kheri kubwa si kupendwa na watu, bali kupendwa na Allah🤲🏽🕊️ Tafuta mapenzi ya Mwenyezi Mungu na wala usitafute mapenzi ya wanadamu❤️Maana anayependwa na Allah, amepata kila kitu🤲🏽✨ #viralvideo #muslimtiktok #fyp #trendingvideo #islamic_video @JamiaTV Kenya @Jamia Mosque Nairobi