@mr.situational: Kwa sababu anayekupenda kweli hatakimbilia kuachana wakati mambo yanapokuwa magumu—atajaribu kutafuta suluhisho pamoja na wewe. ❤️‍🩹🫶🏽💯 #bintimsumi😘 #MrSituational #creatorsearchinsights #attention #kichogo

Mr.situational 🥰🥰
Mr.situational 🥰🥰
Open In TikTok:
Region: FR
Saturday 08 August 2026 12:04:33 GMT
105369
2982
130
600

Music

Download

Comments

favoriteflower947
favoriteflower947 :
Ameniambia leo lets fix this😳
2026-08-10 11:22:57
0
yvettedecute
yvettedecute :
Wangu mm
2026-08-10 18:08:22
0
missev7
user1894157382042 :
exactly
2026-08-10 14:40:00
0
aryelnice65_queen
ms_respect🌸 :
exactly
2026-08-09 09:49:16
2
nasra5732
L@veness 2025 :
Anasema mara nyingi nyingi sana lakini kila siku ni yale yale tu
2026-08-10 17:06:26
6
mimah.de.bleez
mimah de bleez❤️🫂💫 :
Wangu na msamaha anaomba❤️🫂 alhamdulilah🙏🥹
2026-08-10 11:41:12
9
minogirl52
minogirl😘 :
wapo ndo hivyo ten mioyo haitaki kukaa hapo very sad😥
2026-08-09 16:19:38
2
user8102176086802
@ :
jamani anaejua dawa ya kiburi na ujeuri aje kuniuzia Nina shida nayo
2026-08-10 13:47:45
2
careen.careen16
Careen Careen :
Wangu jana kanambia kama umechoka sepa usinisumbue 😓😓😓
2026-08-09 18:54:21
6
sammy2912
sammy :
maneno ya akili kabisa🥰
2026-08-10 13:59:48
1
farhanakimwanya
🦋Farhana Dimpozi"🦋.. :
EEH MUNGU WANGU NAOMBA UITIKYE DUWA YANGU NA MM😭🤲
2026-08-08 19:04:40
7
ednah.chaz.mmbasha
Ednah Chaz mmbasha :
ntampat wap kam huyoooo wa turekebshe hapo
2026-08-09 05:22:19
1
celynbella3008
bellagirl3008 :
sawa mwaya kichogo
2026-08-10 16:48:01
0
winchocha5
♈ Winnie🌸🌄🐭 :
Kumpata sas nd shughuli jmn enhe tupeane kodi bc mnawapataj😂
2026-08-08 21:06:40
3
rabiagewe2
-ms-r.a.y.a.a🧸🌸 :
bora anaekwambia ni uwamuz wako kuna yule mmegombana kdg anawai kusema ondokaa
2026-08-10 17:39:44
0
agaonana7
@AgathaBeatus22 :
wangu nae muongo utaskia ukiniacha wewe ntaenda wapi mm 😂😂
2026-08-10 15:33:25
0
phinerjunior
phiner@junior :
kuna mimi huwa anasema yote kwa sawa aki yani 🥺
2026-08-10 13:39:41
0
whitemasaa1
Angel beauty saloon :
Mbona wa turekebishee wameisha dunian wamebaki wa utajua mwenyewe
2026-08-09 09:11:07
1
tunumkenda
Tunu Mkenda :
nampenda sana mpenz wangu hata akiniacha nabak na mazur meng sana kwake
2026-08-10 20:58:12
0
kautharkhaleed
it's kauthar💙🦋 :
😅😅shida niligundua ni mume wa mtu na alikuwa akinidangany hakusem ukwel kuwa ameoa nikamtumuaaaa🤣
2026-08-10 21:25:24
0
To see more videos from user @mr.situational, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About