ww jamaa unaakili sana ila sizungumzii kuhusu mambo ya michezo TU hapana ila kuhusu mental knowledge una IQ kubwa sana nakufuatilia sana kaka ila ningepata nafasi ya kuzungumza na ww no ngekupa maua yako una Hoja sana katika kuunda maswali
2026-08-08 18:16:38
10
JMAFARASI ELECTR INSTALLATION :
reality
2026-08-08 14:44:05
2
petrofabiani :
Yaani unafanya mtu anakusikiliza kwa raha yaaani 🤣🤣
2026-08-08 17:57:20
8
user9091114770728 :
hakuna Team inayoitwa Dar young Africans, ni Young Africans , coz ni Team ya wananchi ni sio Team ya Dar pekee yake, sahihishen kiswahili chen
2026-08-09 06:24:35
4
RAMSEY :
Umekosea sana kutoa hii corde
2026-08-08 18:16:42
6
user5286821234170 :
nikumbushe jina la mwananchi mwenzetu
2026-08-09 04:54:58
2
ibrazainmo :
safi sana yaan apo umeichambua yanga katka mfumo wa uongoz sio kama wale wakina mangungu
2026-08-08 20:31:11
4
RAMA MUGE🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
kweli mkuu
2026-08-08 13:31:52
3
tesso Ntumba :
kaka ebu nambie ebu nambie ukwer fei yuko wap msimuhuu
2026-08-08 12:57:10
7
weda ndunda @WDZAINI17 :
sawa
2026-08-09 05:43:09
2
Mohamedy Dady :
ndo maana tulimtuma Haji Sunday manara kwenda Hispania kusoma au kujifunza namna ya kuendesha timu na kuongoza clubs.
2026-08-09 08:41:52
1
kijij boy :
akili nyingi sana
2026-08-08 13:31:19
3
Abuu Farhan25 :
wafukishie uongozi 😂
2026-08-08 13:53:12
3
kuka boy :
umeanza kupona
2026-08-08 14:30:08
2
zmniga :
uko vizuri sana kaka
2026-08-08 20:50:54
1
@*b*0*0*d :
kafichua siri🥺🥺🥺
2026-08-08 19:48:50
1
Lenard Jonas :
😁
2026-08-08 17:43:10
1
John Stevest :
yanga bigwa
2026-08-08 19:53:07
1
Haluna Mdende :
Umenifanya nikusikilize kiongozi
2026-08-08 20:14:53
1
Mogado :
MKULIMA 🔥
2026-08-08 12:47:01
1
Sanktus Simba :
uwa nakuelewa sana unaweza
2026-08-09 10:13:22
0
Aroni Omega :
naam🤚🤚
2026-08-08 12:27:33
0
To see more videos from user @farhankihamujr, please go to the Tikwm
homepage.