Amiin ya Allah nakuomba ukinifungue kla aina ya kifungo nlichofungwa ukaondoshe uchaw ulio kua kweny mwili wang
2026-08-08 19:26:47
6
usefettylicious :
allahumma amiin amiin Ya Allah nifungurie milango yangu saba kama milango ya pepo nitolee husda za walimwengu niondolee mabala ya wanadamu na majini ya Allah ww ndio kimbilio la ninachokuomba pokea ya QARIM
2026-08-08 21:16:31
2
Fundi wa dishi M.S Original :
amen wajaliye wte walio tangulia mbele ya haki uwasamehe na ss utujaliye nusulhatima indal mauti