chino ni msanii mkubwa lakn brand yake imeharibika baada ya kutumbuiza Simba day yaan show yake haijapendeza kabsa mwakan kajaribu pale yanga utawaka kinoma yan
Hongera Chino kwa kutengeneza historiabya kudumu na Hawa watoto.. umewabeba na hakika wamebebeka na kufanya show kuwa nzuri zaidi.. PONGEZI nyingi zikifikie.. na wasanii wengine Tanzania tuwe na moyo wa kukuza vipaji vya watoto.. " talent replaces profession when it doesn't work"
2026-08-09 09:46:41
0
mp cute :
Uwiiiiii
2026-08-08 14:23:18
1
Joseph boy :
😁😁😁
2026-08-08 14:27:58
1
Jeremiah Zunda :
Unyama mwingi
2026-08-08 14:34:39
0
chinyalikush :
mama hadi dogo chogo
2026-08-08 17:01:10
0
abuu kamara 45 :
😁😁😁
2026-08-08 18:53:33
0
James Shedafa :
😊☺️
2026-08-08 20:16:31
0
To see more videos from user @simbasc89, please go to the Tikwm
homepage.