Acha kuwatisha watu kupishana ni kawaida katika ndoa na pia ukikubali kumbeba mwenzio jinsi alivyo na madhaifu yake ukayakubali ndoa ni nzuri mnoo mungu bariki ndoa zote na uzilinde🙏🙏
2026-08-08 14:44:58
9
Prisca Gozbert :
kwel kabisa mimi nimeishi na mme wangu bila ndoa toka 2019 adi 2023 baada tu yakufunga ndoa Ata mwaka aukuisha tukaachana
2026-08-09 13:31:36
2
maiko scoty :
Sasa iyo imeandikwa lazima uoe au kuolewa hiyo lazima
2026-08-09 07:28:54
1
Mshiuproperties Morogoro :
Ndoa ni mtego mzuri kwa wanaume.😁
2026-08-09 07:50:03
3
Helen :
sio kweli
2026-08-08 17:44:37
1
fatima :
mbonaaa😳😳
2026-08-09 08:52:18
1
🌸Mom Nasreen🌸 :
msitutish jmn natal kujionea mwenyew yakinishinda si narud tu
2026-08-09 10:03:41
1
vasa darchy :
KWELI KWA NDOA SHETANI NDO WA KWANZA
2026-08-08 15:52:59
3
Peter Elias :
mnadanganyana sana! mimi niko mwaka wa sita sijawahi kukutana na shetani bwana
2026-08-21 13:30:35
1
Elly boyka :
Sio kweli kwa hilo.
2026-08-08 16:24:42
1
SHAMAELAH :
si wote
2026-08-08 15:22:23
1
nyasa :
mimi nipo kwenye ndoa mwaka wa 27 sasa na sijamuona huyo shetani wako
2026-08-18 11:44:12
2
Ashura Mwavilenga :
paradiso ndogo ndoa jehanamu ndogo ndoa 🙌🏃
2026-08-08 19:27:22
1
Big Manyota :
mimi nipo kwenye ndoa miaka 12 sasa mbona huyo shetani sijamuona na sijui anafananaje
2026-08-18 06:50:15
2
AL-BATTASHY :
sio kweli
2026-08-08 14:46:43
2
critical :
sio kweli ndoa inamaadui wengi sana namajaribu nimengi weona tu ukipata mchumba maneno yanazuka adi unashaanga hawa wapotoshaji
2026-08-08 14:35:53
2
mnene :
mii sijasema kitu bado ila wageni msiogope
2026-08-08 15:54:20
1
b.boy :
hakika nikisikiq haya mambo natamani nisioe kabisa maana single tyu naenjoy nakula navotaka,narud geto mda nao taka natoka na mtu naetaka pasipo fatiliwa wala kujificha
2026-08-08 13:59:58
1
mathayomichael8 :
hilo ni kweli kabisa hata mimi mwanangu sitomshauri afunge ndoa furaha ni siku ya harusi tu
2026-09-05 10:30:50
0
king of paw paws :
ndoa inaendana na nyota
2026-09-04 08:59:57
0
Mamyna Dayana :
sometimes ni ukweli
2026-08-23 11:58:25
0
Jeff Moshi :
Kabisa
2026-08-22 19:12:31
0
Evance madini :
Kuna ukweli hapa😂😂
2026-08-31 04:10:03
0
Mrs said chui :
good
2026-08-08 16:05:35
0
To see more videos from user @akismediatz, please go to the Tikwm
homepage.