@jukwaa.la.maarifa: Sheikh Dkt Abdulrazak Amir Amewakumbusha Vijana Wa Sasa Ambao Kwa Kiasi Kikubwa Wamekua Na Tabia ya Kukaa Geto Bila Sababu ya Msingi Ni Jambo Ambao Alifahi Kisheria Ni Vyema Kama Binti Anauhakika Wa Uwepo wa Wazazi Wake Wote Wawili Wapo inapendeza Binti Akae Nyumbani Kwa Wazazi Wake Tabia za Baadhi ya Mabinti Wa Sasa Kujiamulia Kukaa Geto Ni Moja ya Vyanzo Vinavyochangia Mmomonyoko Wa Maadili Sababu ya Kukosa Usimamizi Sahii Wa Wazazi Dkt Sheikh Abdulrazak Amir Amewakumbusha Wazazi Kama Akuna Sababu ya Msingi Ya Kukaa Geto Ni Vyema Vijana Wakae tu Nyumbani