Jina la BWANA YESU KRISTO litukuzwe mwenye kuturehemu sisi wenye dhambi na MUNGU akubariki Sana mutumishi wake na kutiye nguvu ya kuzi kumutumikia Siku zako zote na tusaidiye sisi wenye dhambi tuzidi kuhachana na dhambi na tufanye mapenzi yake 🙏🙏 !!
2026-08-08 14:34:38
7
madini ghost internation :
una ushaidi na uthibitisho wa hayo unayo sema
2026-08-10 15:11:44
0
Mr Michael :
Yeah sure Mtumish MUNGU AKUBARIKI SANA
2026-08-08 14:16:08
3
ERNEST :
mafundisho mazuri saana mungu atusaidie🙏🙏🙏🙏🇨🇩
2026-08-10 19:00:18
2
EVG,DR Jally :
Truth Hurts but it's a bitter truth, GOD help us 🙏
2026-08-08 21:20:19
1
meshack :
wakati ni sasa wala sio kesho
2026-08-08 18:01:50
3
Yohana Dotto :
Kabisa wameuza ili kupata anasa za muda kidogo
2026-08-09 05:25:04
3
Mwalimu-Anna Mwakilasa :
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU ENDELEA KUISEMA KWELI YA KRISTO
2026-08-08 14:39:27
4
joyna :
ni kweli kabisa Mtumishi matengenezo ni sasa
2026-08-08 15:49:31
1
Rehema paulo :
mungu atusaidie sana👏👏👏
2026-08-08 14:15:34
0
balele :
a🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-15 21:35:41
0
onesmo207 :
balikiwa sana kijana mwenzangu
2026-08-09 18:51:14
1
𝐴𝑀𝑈𝑅𝐼 𝑤𝑎 𝑲𝑹𝑰𝑺𝑻𝑶 :
ongera 🙏✝️🛐📖🌹😣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-08-16 12:31:56
0
Anne cute🥰 :
ni kweli wameuza na wanaendelea kuuza ,, Mungu akubariki mtumishi maana umemesha waambia hautadaiwa
ubarikiwe mtumishi, ni huruma sana na yamkini wanatamani kutoka ila huenda wanaogopa kwa sababu ya masharti na maagano walioingia, nikimtazama diamond huwa namuonea huruma sana, Bwana Yesu atusaidie sote bado hatujafika mbinguni
2026-08-13 08:26:04
0
Louise :
5/5
2026-08-13 17:08:58
0
jaklin :
kweli kabsa yesu arudi mufalume yuko karibu
2026-08-20 09:27:56
0
To see more videos from user @pastor_kagoro_01, please go to the Tikwm
homepage.