@iycsigntv: Wanaume mke wako akiwa kwenye hedhi yake akikujibu tofauti usishangae Muusika: sheee 📺 iycsigntv ✍️ iycsigntv Welcome to the iycsigntv youtube iycsigntv promotions dm and more

iycsigntv
iycsigntv
Open In TikTok:
Region: US
Saturday 08 August 2026 14:19:18 GMT
195800
14836
149
2618

Music

Download

Comments

khoumsaa
t@£; :
Heshima wote kwenu wanawake mungu awabariki san mama zetu🙏🙏
2026-08-16 09:47:44
108
marixoontop
Marixo✨♥️ :
That true guys.
2026-08-21 10:06:11
0
ney068375
Ney❤️❤️ :
sio mimi nilivyoongeza sauti ili uyo mbaba hapa asikie 😂😂😂
2026-08-16 07:23:08
39
minahily2
Minahily :
ila ukiwa na Mwanaume alie soma na mwenye hofu y mung ni Raha Sana....
2026-08-16 10:15:35
130
aisha.mohammad43
🦋Ayshallak🦋 :
wanaume mwaskia? maana hua mwajitoa fahamu 🫣
2026-08-16 14:25:33
18
fatumamohamed0172
Fetty artist :
Allah akuhifadhi inshallah
2026-08-16 06:28:11
40
aminaabubakar5309
queen minah🎀❤️🔐 :
umeongea sahihi kabc
2026-08-15 20:36:13
31
user99211134218596
Binty Zahara :
Allah akupe umr mrefu na afya njem insha allah
2026-08-17 11:19:57
10
user4955085108111
Halima :
Allah Akubalik
2026-08-15 17:30:57
19
faudhiaimani985
Faah :
hawajui hawa shekh wang...sio sisi jaman
2026-08-15 12:54:00
9
halimarichiraniru
mimahrich 😘😘😘 :
💖💖💖💖💖💖point kabisa sheikh
2026-08-16 06:25:00
9
user9744741083432
Rahma tarimo 🍎 :
umeongea point San shekh 👊
2026-08-15 17:02:53
7
raulicious2
Raulicious :
🥺🥺🥺Nikweli lkn hawaelewi km tunaumia mno
2026-08-08 16:17:32
13
nasra8865
Nassy :
Mimi ni mwanamke ila kujifungua na hedhi naona ni moja ya maajabu alotuwekea sisi wanawake
2026-08-16 20:30:00
8
salma.mohamedi1
Salma mohamedi :
kabisa wengine hawaelewi kabisa sisi tunapata tabu sana tunaumwa na tumbo
2026-08-19 05:06:09
1
user4492153747753
Baby zai :
subuan allah
2026-08-17 07:53:28
1
nasma.malki
NAAH :
subhanallah
2026-08-16 20:49:02
2
arshleyn2000
Arshleyn♥️♥️ :
Walai tunateseka sana wanawake ila naskitika kwamba wanaume wachache sana wanao elewa wake zao, haswa tukiwa na uja uzito aki. Mungu ndio anatuelewa
2026-08-16 19:54:00
5
yusra.khamis22
Yusra Khamis :
sauti iongezwe Allah akuhifadhi Skh
2026-08-19 05:16:52
1
user2145491155477
wema mtindiha :
Allah
2026-08-15 19:11:01
4
blackbrina3
black brina org💥🦋 :
mbona sioni comment ya mwanaume😂😂😂
2026-08-18 20:51:02
1
najmahassan4375
Nah Cute :
cjaona comment ya boy jaman
2026-08-15 21:31:42
4
user5262954619517
aysher :
mwenyezimunguu akujaliyyy. kwaakuwafikishiyaa. jambolaamaanaa .shukran
2026-08-16 03:50:42
3
To see more videos from user @iycsigntv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About