@lilymediaa: tazama Ahmed ally alivyo ingia uwanjani na Simba wawili #trendingviralvideo #ahmedallysimba#simbaday #fypシ゚viral #ahmedally

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 14:32:25 GMT
180900
10270
275
318

Music

Download

Comments

husseinkimolasydney
Kimola :
Top notch creativity
2026-08-08 15:43:47
0
bmajestic2
B-majestic👑 :
Hasa mbona wanamfungia au wanatu hakikishia haki ya simba kufungwa😂😂😅 Au manasemaje wana Yanga wanzangu😅
2026-08-08 18:33:50
29
divdora1
Divdora🧢 :
Sasa mbona mnafungia simba wenzenu kwenye keji au hamuaminiani
2026-08-08 15:52:33
16
mirrajunior
Justina m,m,🥰 :
simba achni like hapa family
2026-08-08 15:11:41
39
user9767817078425
Ibra shaw :
Unajua nacheka Kwann 😂😂😂😂😂
2026-08-08 15:04:21
8
chopra.abrahman
Chopra The Brain :
Maraaaa paaaaa simba anatoka kama nawaona jinsi watakavyokimbizana maana mtaandika historia
2026-08-08 15:07:50
51
captain_sunzu
King Sunzu :
Yanga wataingia na vyura
2026-08-08 17:31:44
3
kipila78
pendo Yusuph :
kwakua leo ni siku ya maonesho basss hakuna maajabu
2026-08-08 17:02:15
9
mosses.technology2
karabatak 713 :
limeshindikana hili semaj la simba
2026-08-08 14:42:06
39
asinath.muhidini
Asinath Muhidini :
tunataka ubingwa mbuga zawanyama tumezichoka
2026-08-08 14:41:40
32
sabby_gal45
🗽don_ley🎀 :
wafungulieni tujue kweli wanaijua simba😂😂😂
2026-08-08 19:40:14
2
user59047014269966
🤗Tranquil🤗😍 :
hahahahha masifa tu ndo kitu wanajuaaa simba wanamuogopa simba mwenzaooo sasa kwann wamemfungiaa🤣🤣🤣
2026-08-08 15:05:04
5
mbarukushekh
Mbaruku :
huu Ubunifu mkubwa sana semaji hongera
2026-08-08 14:56:36
30
user4475016168021
deborabundalla :
wanasimba tujuwane jamn♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2026-08-08 14:58:41
10
hb.pro_kid144
HB _pro_kid🔵 :
sio kwa ubaya kwa mfano hao simba wakatoka sas 😂😂
2026-08-08 17:26:04
3
elias2771
ROMANTIC BOY :
nataman watoke ao simbaa🤣🤣
2026-08-08 14:59:13
7
user2148910561360
user2148910561360 :
jaman kua Simba laasan
2026-08-08 16:51:35
3
user58853013705574
user58853013705574 :
Ila Ahmed Ally kiboko.
2026-08-08 14:39:31
10
jinevajully7
jinevajully7 :
Ila Ahmed atengweeee akili kubwa sana
2026-08-08 14:55:56
8
sebastiankongo15
Sebastian Kongo :
sasahao ndowachezaji kawaleta,kuwatambulisha au
2026-08-08 18:43:04
0
user2136178105328
user2136178105328 :
kwan leo siku ya utaliiii wa mbugani au
2026-08-08 16:15:57
3
sabrah4445
sabrah💖🦋🦋 :
sas cjui yanga wataingia n chura uwanja nashindwa kuelewa
2026-08-08 18:43:27
0
user98777300942910
zainabu yanga ya makombe💚💛💪 :
muwa fungue mbona mmewafunga
2026-08-08 15:11:44
1
user8116852813280
dori masawe :
noma sana
2026-08-08 14:36:14
4
user5149738112380
neema nyamongo :
umeshindikanw
2026-08-08 14:57:45
3
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About