@vidotz0: Jamani simba kunaraha@Simba Sports Club #videoviralitiktok #videotrending #swahilitiktok🇹🇿

vidotz1
vidotz1
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 08 August 2026 14:49:36 GMT
60621
4611
126
114

Music

Download

Comments

rsamwel
rache blondie :
ahmed ally umenishind🤣a 🤣🤣
2026-08-08 17:55:26
1
enspyjr7
edisonyolamu :
haina comeback hii
2026-08-08 17:18:11
0
trouble.boe7
Trouble boe7* :
This is Simba guys
2026-08-08 17:41:41
1
africana.madam.tee
💝African🌹 madam💞💞 Tee :
I LOVE YOU SIMBA🦁🦁♥️♥️♥️♥️
2026-08-08 17:17:27
1
user4368475960576
jastni Alex :
😁😁😁 I love you Simba
2026-08-08 21:05:02
0
kinyoziiiiii.majej
kinyoziiiiii majeje :
saw saw
2026-08-08 20:56:43
0
shonz_19
Latrix_19⛎ :
me napenda wangemtoa tu ili pachangamke zaid au mnasemaje wakuu😁😁😅..unakuwa ni mtafutano tu yan unamuona Ahmed anaruka fens☺️☺️🙌
2026-08-08 18:14:33
15
islaa0013
islaa0013 :
Mara huyo simba atoke hapo😂😂
2026-08-08 15:08:30
13
malackoscar579
Malack oscar✅ :
Jamani siwamtoe huyo simba sasa au bado hawajui simba wenzie😁😁
2026-08-08 16:02:54
10
user9262515828530
zulfa joseph :
Mara 2 simba anatoka ghafla
2026-08-08 20:18:18
4
user779748631080
ghost mode :
Yanga watakuja na vyura hamta amin
2026-08-08 16:29:54
15
pantabizzy
pantabizzy :
mbna simba jike
2026-08-08 16:42:52
8
roby75862
roby :
bonge ra ubunifuu unajua san
2026-08-08 20:21:13
2
kasto.kiddy
dogo cpendez :
Kesh yanga wataingia na chura
2026-08-08 17:50:45
5
donjamnazareth2
DONJA MNAZARETH✝️ BACKUPS :
simba wenyew wanashangaaa,mbona wamekuw mastaa ghafla 😂😂😁hawajuh wameibiwa jna na brand
2026-08-08 20:08:18
2
angiee_755
💝Miss Angiee💖🥰 :
miaka 90 kipigo dakika 90 😅😅
2026-08-08 22:41:22
1
isacksayi816
Isack Sayi :
naipend simbaaaaaaaaaaaaaaà
2026-08-08 16:34:43
1
_sokoban_
sokoban :
mbon mnafungia wenzen inamaan hamuaminian kias hcho😄😂
2026-08-08 17:25:00
1
boy.king738
boy king ....,,, :
bata sana ila angechomoka akacheza kidogo na mashabiki
2026-08-08 16:25:54
1
rehemahamis3
My me 🦋 🌸 :
Mbona hamuwafunguwi muwasalimie vizuli ndugu zenu , Kwani nyie shabiki wa simba hamtaki kumbato la simba ? ? 😂😂😂😂😂
2026-08-08 18:26:50
1
bliss_nation24
Bliss nation :
wangewafungulia waxherekee wote huo ni ubaguz kuwafungia wakat woot ni Simba🙌
2026-08-08 17:05:29
1
savagebelle584
savagebelle584 :
Kila siku simba wamezoea tunaendaga kuwaona Leo zam yaoh kuja kututembelea 😂💔
2026-08-08 20:30:12
1
idrisafeeling
idrisafeeling :
shereh yote hii alf muje funga 5 au bc 🥺🥺🥺
2026-08-08 16:57:21
1
user1264567890macrina
macrina :
jamani hakuna timu kama simbaaa🦁🦁🦁🦁🦁
2026-08-08 22:09:49
0
user2631326073471
user2631326073471 :
Raha Sanaa❤️❤️💯
2026-08-08 20:45:11
0
To see more videos from user @vidotz0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About